BARUA KWA DIAMOND PLATINUMZ na MAMA YAKE MZAZI

Rural Swagga

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
1,579
1,080
BARUA KWA DIAMOND PLATINUMZ na MAMA YAKE MZAZI mbeya region P.O.BOX 0759209081 MBEYA dear diamond.... sina imani we ni mzima wa afya kutokana hasa na mambo unayofanya kiukweliii katika wasanii wakali mpaka kupitiliza hapa tz wew ni mmoja wapo.. napenda sana vibonzo vyako hasa kile cha " nani amenuna nani amenuna eti nani amenuna" najua utakua umemalizia WEMA... katika kila shoo zako unazofanyaga mara nyingi huwa unataja kumheshim sana mama yako mzazi kutokana na malezi aliyokupa toka kipindi kile unauza MITUMBA.. lakini saiz unafanya mama wa watu aonekane alizaa toto zinzi ambalo kama limetumwa kuzini na kuumiza wanaume wenzie.. ivi unajua mke anauma kias gani hata kama wanajileta we ni mtu mzima ambaye unatakiwa kupembua mambo.... hasa kuhusu jambo la HILI MBURULA LENZIO UWOZO or SORY I mean UWOYA.. unajua kabisa kaka yetu NDIKU ambaye anafanya kazi ngumu ya kukabana na wakina NSAJIGWA NFUSO uwanjani ili apate chochte cha kulisha family yake lakini wew bila huruma una ramba asali yake... ivi unajua mtoto wa uwoya "krish" atakopukua njiani kwenda shule wenzie watakua daily wakimuambia " mtoto wa kambo wa DOMO huyo' ivi dear diamond mbna unataka mama yako asipewe heshma sababu ya wew hujui ka unamfanya awe despsd infrnt of da pple... najua hujaelewa coz elimu kwako ni tatizo utampigia wema akufafanulie ila usi mrecord coz anakusaidia ww.... au umea athirika unafanya kusambaza.. hawa wanawake wapo toka enzi za ma dinossaurs,,, mwambie penny akuambie maANA ya dinossaurs.. huu mda unaoangaika na wanawake ungejiendeleza ata kielimu iyo 4m four itakufksha wap.. na wew mama diamond ivi huoni anachofanya mwanao unashindwa kumshauli au unataka uje kumwambia akishaanza kuharisha na kumvisha visepe.. ERIC SHIGONGO naomba ukiiona hii itupie kwenye ijumaa wikienda ili babu yangu wa ileje Ambaye hatumiii fb asome mana kila siku amekua akiipenda nyimbo ya mbagala bila kujua uovu wa aliyeimba kwa leo yatosha ila TACAIDS naamini itakutemblea diamond siku si nyingi kkupa matumizi saHII YA arv

Source:eek:nline
 
kwi kwi kwi!! nimechekaaaaaa!! mwanaume kaptura yule!! anasinyajeeeeee??
 
barua kwa diamond platinumz na mama yake mzazi mbeya region p.o.box 0759209081 mbeya dear diamond.... Sina imani we ni mzima wa afya kutokana hasa na mambo unayofanya kiukweliii katika wasanii wakali mpaka kupitiliza hapa tz wew ni mmoja wapo.. Napenda sana vibonzo vyako hasa kile cha " nani amenuna nani amenuna eti nani amenuna" najua utakua umemalizia wema... Katika kila shoo zako unazofanyaga mara nyingi huwa unataja kumheshim sana mama yako mzazi kutokana na malezi aliyokupa toka kipindi kile unauza mitumba.. Lakini saiz unafanya mama wa watu aonekane alizaa toto zinzi ambalo kama limetumwa kuzini na kuumiza wanaume wenzie.. Ivi unajua mke anauma kias gani hata kama wanajileta we ni mtu mzima ambaye unatakiwa kupembua mambo.... Hasa kuhusu jambo la hili mburula lenzio uwozo or sory i mean uwoya.. Unajua kabisa kaka yetu ndiku ambaye anafanya kazi ngumu ya kukabana na wakina nsajigwa nfuso uwanjani ili apate chochte cha kulisha family yake lakini wew bila huruma una ramba asali yake... Ivi unajua mtoto wa uwoya "krish" atakopukua njiani kwenda shule wenzie watakua daily wakimuambia " mtoto wa kambo wa domo huyo' ivi dear diamond mbna unataka mama yako asipewe heshma sababu ya wew hujui ka unamfanya awe despsd infrnt of da pple... Najua hujaelewa coz elimu kwako ni tatizo utampigia wema akufafanulie ila usi mrecord coz anakusaidia ww.... Au umea athirika unafanya kusambaza.. Hawa wanawake wapo toka enzi za ma dinossaurs,,, mwambie penny akuambie maana ya dinossaurs.. Huu mda unaoangaika na wanawake ungejiendeleza ata kielimu iyo 4m four itakufksha wap.. Na wew mama diamond ivi huoni anachofanya mwanao unashindwa kumshauli au unataka uje kumwambia akishaanza kuharisha na kumvisha visepe.. Eric shigongo naomba ukiiona hii itupie kwenye ijumaa wikienda ili babu yangu wa ileje ambaye hatumiii fb asome mana kila siku amekua akiipenda nyimbo ya mbagala bila kujua uovu wa aliyeimba kwa leo yatosha ila tacaids naamini itakutemblea diamond siku si nyingi kkupa matumizi sahii ya arv

source:eek:nline

unatafuta mchumba?
 
Kuna mambo machache ya kugusia kuhusu barua hii na Diamond.

(1) Kuhusu Diamond kutembea na Irene, ni dhahiri kuwa
(a) Hawakutaka yajulikane, bali ilikuwa ni siri yao, ndiyo maana diamond hakujitangaza kama ambavyo huwa anafanya kwa wasichana wengine
(b) Irene ni msichana mzuri ambaye mwanamme yeyote akiwa karibu naye atamtamani kulala naye
(c) Diamond ni mvulana maarufu mwenye hela nyingi ambaye wasichana wengi wanaweza kujisikia ufahari kulala naye.
(d) Hatujui ni nani aliyetengeneza manzingira ya wao kutembea pamoja ingawa inaelekea kuwa malipo ya hotel yalifanywa na Diamond, kwa hiyo huenda ndiye aliyeandaa mambo yote. Hata hivyo inawezekana pia kuwa ni Irene ndiye aliyefanya maandalizi ili ampate Diamond kuonja kile wasichana wengine wanachofaidi kwake. It works both ways.

Kwa hali hiyo iwapo ni lawama, basi ziwaendee wote siyo kwa Diamond tu.

Diamond kama mwanamme alitakiwa ajue ubaya wa kutembea na wake za watu hasa kwa vile mambo haya huwa hayafichiki, hata kama walidhani kuwa wamejificha. Kujizuia ni mojawapo ya sifa nzuri sana za binadamu. Kwa kutembea na mke wa watu, amejikuta kajitengenezea maadui wengi kama ambavyo barua hii na posts nyinginezo nilizosoma humu kumhusu yeye zinavyoonyesha. Mbaya zaidi hajui reaction ya mme wa Uwoya itaishia wapi. Huko kulikuwa na kupungukiwa kwa busara ingawa vile vile kunaweza kutokana na uzuri na urahisi wa Irene mwenyewe.


Irene mwenyewe naye alikosa busara za kutunza mwili wake na kuheshimu ndoa yake akasahau kuwa kuna tofauti kubwa sana baina yake na wasichana wengine wanaotembea na Diamond ka Jokate na wema kwa vile wao hawajaolewa. Vile vile wao wakitembea na Diamond wanakuwa treated kama wapenzi wake, lakini yeye akitembea na Diamond anakuwa anakuwa treated kama malaya anayetembea nje ya ndoa. Mbaya zaidi, alifanya hivyo huku akijua kuwa mme wake alikuwa njiani anakuja kumtembelea; mmewe alifika mjini siku kama nne tu baada ya wao kufanya mambo hayo kule hotelini. Alijifinya kumpokea mme wake kwa furaha huku akijua kuwa alishasaliti ndoa yao.

Kwa hiyo si vizuri kumsakama Diamond tu, nadhani mtu wa kulaumu zaidi ni Irene. Iwapo Irene angekataa, Diamond asingemlazimisha waende huko hotelini. Nimeona hiyo picha yao pale hotelini, inaonyesha kuwa Irene alikuwa anasubiri kwa hamu sana wapewe ufunguo waingine chumbani. Vile vile siku hiyo Irene alikuwa kavalia na kujipodoa sexy kweli kweli. Nafikiri cha kumlaumu Diamond ni kile kitendo chake cha kushindwa kutoa tamko la kujutia tukio hilo, na hiyo ndiyo inayoonyesha kama kuwa yeye hajali lolote kwa yaliyotokea.


kama mwandishi alivyosema, madhara ya maamuzi yao mabaya sasa ni kuwa mtoto wa Irene atakua bila kuwa karibu na baba yake mzazi.
 
No. . I can sense brainy here. . U comedian and creative too. . Nimecheka sana. . Mengine no comment but u good man @rural swaga wasioenda deep ndo Hawaoni. . Lol
 
Jestina ni nani hasa..???

she acts bold and confident as if she rules all the men in JF... damn it!!!!
 
Back
Top Bottom