jMali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 8,386
- 4,932
mkuu unajuaje kama hii barua (kama ni geniune) haijavujishwa na wahusika wenyewe?
mchezo wa intelligensia una mambo mengi sana. hebu fuatilia hiyo barua ilitoka lini na kipindi hicho
kulikuwa na mambo gani muhimu kitaifa. ukifanya hivyo unaweza pata angalau picha kama hiyo barua ilivujishwa
kwa sababu gani.
kama ndio hivyo then hao ni wap.uuz.i hakuna chochote kipya ambacho barua inatuambia watanzania. Kwamba Lowassa is rich enough to buy properties in London? Nani alikuwa anabisha hilo?