Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,581
- 18,132
- Thread starter
- #201
Waberoya,
Acha zako.Unajua unachopaswa kuleta hapa.Yaani mtu ujiuzulu siasa kwa kuhoji kuhusu mashaka au barua ya kijasusi?
Mbona na wewe umeambukizwa udikteta msomi mzuri kiasi hiki?
Kwamba eti siruhusiwi kuhoji kama nilivyohoji kuhusu tuhuma hizo na uchunguzi umefikia wapi?
Nilidhani mtamkemea Kikwete aliyemsafisha na Wana-CCM wanaoimba wana Imani na Lowassa maana huo ni unafiki wa hali ya juu
Leo unataka mimi nijiuzulu siasa badala ya kuwataka wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wajiuzulu kuwa wana Imani na Lowassa badala ya Mwenyekiti wao ?
Huu sasa si utakua uonevu na wewe utaonekana una Double Standard bila kujali heshima yako hapa jukwaani?