Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,421
- 4,888
ila maarifa tele kichwani, akili kila mtu anayo ila tofauti ni maarifa mkuuAkili fupi!
ila maarifa tele kichwani, akili kila mtu anayo ila tofauti ni maarifa mkuuAkili fupi!
Hii ishu ilishaisha kitambo na ilimalizika,chadema hamna jipya zaidi ya propaganda lowasaa for president 2015
hapo hamna hoja ya kujibu mkuu, hizo ni habari za kijasusi wanazopeana vyombo vya ulinziInaonekana washabiki wa mafisadi ni kwa namna gani hamna uzalendo wala uchungu na taifa . Ninyi ni wasaliti wa umma na diyo maana kumbe hamjali uchafu wala kashifa za watu na historia zao kwenye mauaji ya taifa.
Unasemaje wewe kuhusu ujumbe ulioko kwenye huu waraka. Una umuhiimu wowote kwa maslahi ya taifa ama hauna?
Naomba ujibu hoja.
kwa kuwa CCM ni ukoo wa panya,hakuna wa kumgusaEL hadi M16,CIA etc wanajua jamaa ni fisadi
porojo ya leo hiiNdugu yangu Ben Saanane tuseme na kubakisha... Huyu Lowassa ndiye eventually atakuwa mgombea wa UKAWA... hivyo tusimchafue... sana tukakosa cha kusema huko Mbeleni.
hapo hamna hoja ya kujibu mkuu, hizo ni habari za kijasusi wanazopeana vyombo vya ulinzi
ben ameleta hapa kisiasa tu maana kama kuuliza imefikia wapi kwanini asiulize kwa wahusika FIU au MP
Barua hii ni mawasiliano ya kinteligensia kati ya vyombo viwili. Ndio maana imeandikwa kabisa "for intelligence use only". Hii barua imevujishwa na watu wenye malengo yao binafsi. Haikulengwa kwa jamii. Hivyo hata majibu yake yatarudi kwa aliyeandika. Kama wewe unataka kujua kuhusu majibu yake unatakiwa kumuuliza huyo aliyeivujisha hii. Mimi nadhani huyo aliyevujisha hataki kuvujisha mrejesho wa barua hii kwa sababu naamini uchunguzi UMEMSAFISHA mtuhumiwa! Badala yake anapendelea ibaki hii hii moja ili watu waendelee kuwa na mashaka na lowassa.
Uingereza hawana mchezo kama tuhuma hizi zingekuwa za kweli kingeshanuka zamani. Hakuna kitu hapo.
Mtoto huyo naye atakuwa kiongozi wa Taifa hili.Ameanza kuwa na sifa tuzitakazo mapema kabisa
mambo ya 2009 leo ya nini
acha kutumika kama tissue ww
unaokota gazetti la zamani kisha unataka liuza kma jipya
shame on u and who ever sent u
uchunguzi umefikia wapi?hilo ndo swali
acha PROPAGANDA zako wewe! hii barua ipo kitambo tu humu JF, miaka sita imepita hakuna chochote kilichothibitishwa
ila nashukuru kama CHAGADEMA mnamtambua kuwa EL ndio mgombea wa chama tawala
Ben ni kbaraka wa membe we know