Julius Malema Jr
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 653
- 155
mbona unatoa hoja za kusadikika wewe wa wapi kama unazo hizo barua za kusafisha si uweke hapa siyo unatuletea stori.
membe atahangaika sana lakini ajue kuwa hauziki bidhaa inayouzika ni lowasa ....hiyo barua waliitengeneza kumchafua lowasa baada ya kuskia kikwete amemteua kuwa waziri wa TAMISEMI membe akampa riz ela kuhakksha jina la lowasa linaondolewa kwan aliamn lowasa atajipanga kisiasa na akatumia gazeti la raia mwema kumchafua fre lowasa ili aonekane lowasa ni mchafu ila tunajua hakuna mchafu na mfitini kama membe ikulu ataishia kuiona kwa macho....aman karume ameshawaonya wahuni (kina nape)wanaotumia jina la ccm kuuza bidhaa( mgombea) isiyouzika kuwa waache mara moja na uongozi wa juu wa chama uwaonye kwani watanzania wakizuiwa kununua bidhaa wanayoitaka ata kwa kuwekewa majabali watayavunja ili wampate mgombea wao ambaye yeye anaamini bidhaa inayouzika ndani ya ccm ni lowasa