Mzee Wa Kale Kabisa
JF-Expert Member
- Mar 25, 2018
- 2,602
- 4,266
Elezea tu Mkuu... Tutaokota hata kidogoWewe ndiyo huelewi kabisa!
16% siyo mrabaha bali ni free carried share. Kabla ya hapo tulikuwa na 10% free carried share. Kwa hiyo imeongezeka 6%. Ila kiuhalisia, iwe 10 au 16%, hakuna chochote cha maana. Ungekuwa na uelewa kidogo wa mining industry ningekuelewesha kwa nini nasema hivyo.
Kwa upande wa mrabaha, wakati wa Mkapa tulikuwa na 3%. Wakati wa Kikwete ilipngezwa na kuwa 4%. Sasa tuna 6%. Kwa hiyo imeongezeka 2%.
Kiuhalisia, kwa vurugu zote tulizozifanya kwenye sekta ya madini, tulichokipata kikubwa ni 2% royalty, nothing else.