Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,145
- 190,608
Utageuka Sub Zero wa MortalKombatKuna jamaa kanishawishi niende nae tena kwa pikipiki nimekataa, baridi hii na pikipiki si nitaganda na kuwa barafu!
Utageuka Sub Zero wa MortalKombatKuna jamaa kanishawishi niende nae tena kwa pikipiki nimekataa, baridi hii na pikipiki si nitaganda na kuwa barafu!
AhahhahahaKawaida Sana huko, Tena Bora njombe , makambako unapga baridi ikiwa ndan ya kifungashio Cha upepo, ngoma inapenya kwenye mifupa hasa kutoka mizan Hadi green city hall
aiseeNiliwai fanya project moja pale na shirika flan.hapo makete...kijij kizima watu wameathirika maani.na...na wana afya mbaya...wanakula viazi tu ..dah.nkasema hii dunia inamana hata kondom elim hawana..mtu anakuuliza kondom unaivaa wap
atageuka kua victim wa subZeroUtageuka Sub Zero
Na unakua mweusi ngozi inababuka.....Njombe pazuri ila baridi yake balaaNipo Njombe kwa shughuli zangu binafsi na hii ndio hali ya hewa ya leo. Baridi kali 9°C asubuhi hii na usiku ndio ilikua kali zaidi.
Nawatakia siku njema waungwana.
View attachment 1821202
Acha lile baridi ni balaa, ila beer ya kule ni tamu aisee 😉Hata mm huko kwa hicho kiwanda nilifika kesho nikageuza
Ukiwa njombe baridi lake halina upepo, linaingia kimya kimya, utashtukia tu mifupa ina lalamika, kwangu mimi hili ni baridi baya kuliko la makambako ambalo linaambatana na upepo, ukiukwepa upepo unaipata afadhalimakambako kuna upepo mkali unatokea upande wa njombe ila nikiwa njombe upepo siusikii ina maana ile baridi ya njombe huwa inasukumiziwa makambako au!
Huo ni mtego usikubali, ukioga maji ya moto huwa raha sana mambo hubadilika pale maji yakaisha kwenye ndoo, ule muda wajifuta maji mpka ukavae nguo utajuta.... Enzi nikiwa Njombe sec, njoss, tulikuwa tunachemshiwa maji jikoni, sufuria nzima ila hakuna anaeenda yagusa, bora uoge tu yabaridi kuliko ya motoWakuu naombeni ushauri, kajua kametoka sasa shemeji yenu ananilazimisha nikaoge eti kisa keshachemsha maji. Me nimemwambia sijisikii kuoga maana sio lazima. Hapa tumekwazana kwa ajili ya hilo.
Eti jamani kuna haja ya kulazimishana kuoga wakati kila mtu na mwili wake halafu siku zenyewe ambazo sijaoga ni tatu yaani siku tatu tu.
Mtafika mmeganda kama baraduKuna jamaa hapa ananiambia niende nae Makete kuna shamba ataniuzia, halafu usafiri wenyewe pikipiki sidhani kama ntaenda
Ndo maana nasikia harufu ya mishikaki humu ndan kumbe n ulimi wako daaah😇🤥🤕Jana nimepewa chai nikaipiga fasta, tangu asubuhi nahisi mdomo kama umeiva hivi
Ya Makambako inapausha,kuumiza macho kwa vumbi na takataka nyingine,shida kwenye usafiri bora ya Njombe ni kuvaa makoti makubwa ya Sufi kama uko Siberia vileUkiwa njombe baridi lake halina upepo, linaingia kimya kimya, utashtukia tu mifupa ina lalamika, kwangu mimi hili ni baridi baya kuliko la makambako ambalo linaambatana na upepo, ukiukwepa upepo unaipata afadhali
Sijawahi oga maji ya baridi whether Niko Dar au NjombeHuo ni mtego usikubali, ukioga maji ya moto huwa raha sana mambo hubadilika pale maji yakaisha kwenye ndoo, ule muda wajifuta maji mpka ukavae nguo utajuta.... Enzi nikiwa Njombe sec, njoss, tulikuwa tunachemshiwa maji jikoni, sufuria nzima ila hakuna anaeenda yagusa, bora uoge tu yabaridi kuliko ya moto
Ukiwa njombe ukioga maji ya baridi ni bora unapata shida muda ule wa kuanza oga tu baada ya hapo mwili unazoea, maji ya moto labda kwenye bafu zile zilizotengenezwa kutunza joto tena ndani ya nyumba sio bafu za shuleSijawahi oga maji ya baridi whether Niko Dar au Njombe