DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,313
- 109,383
Una umri gani kwa sasaWakuu naombeni ushauri, kajua kametoka sasa shemeji yenu ananilazimisha nikaoge eti kisa keshachemsha maji. Me nimemwambia sijisikii kuoga maana sio lazima. Hapa tumekwazana kwa ajili ya hilo.
Eti jamani kuna haja ya kulazimishana kuoga wakati kila mtu na mwili wake halafu siku zenyewe ambazo sijaoga ni tatu yaani siku tatu tu.