beny jr
JF-Expert Member
- Jul 15, 2018
- 864
- 1,182
Hapana mkuu ametusaidia sana yule mzee kuna kitu kakijenga watanzania angalia mama anavyopata upinzani kila akivaa barakoa hakuna mtu anamfuata kuvaa yan anatafta gia lakini wapi watu bado wanamuamini mwendazake na mbinu yake hiiJamaa alikuwa anatulisha chai kwa matembele.Mungu alimuona![]()


