- Thread starter
- #21
Sasa mkuu kwanini wanafunga muda huo, sababu ni baridi, ushirikina au wateja hamna?Filimbi hupulizwa saa 11:30 Ila 12 haruhusiw mtu mle ndan
Sasa mkuu kwanini wanafunga muda huo, sababu ni baridi, ushirikina au wateja hamna?Filimbi hupulizwa saa 11:30 Ila 12 haruhusiw mtu mle ndan
Ni utaratibu tu,Sasa mkuu kwanini wanafunga muda huo, sababu ni baridi, ushirikina au wateja hamna?
Pole sana mkuu, baridi la Iringa huwa linanishinda, huko Njombe nitaganda kabisaDah huku acha wakae wenyeji hii baridi hapana. Nina siku ya tatu leo sijaoga wala sina mpango. Ntaenda kuoga hata iringa au ruaha mbuyuni
Yaani balaa mkuu, kwa baridi hii huku ni kuja na kuondoka sio pa kuweka makazi ya kudumu.Pole sana mkuu, baridi la Iringa huwa linanishinda, huko Njombe nitaganda kabisa
😅😅kwamba kifo hakina chamaVua shati ufanye jogging kuanzia hapo ulipo hadi Ruhuji na kurudi.Hautatamani koti tena mkuu.Usijaribu.Kifo hakina chama.😂😂😂😂
Basi muache agande na barafuMtawa huyo mkuu.
Kumbe bado kuna joto.Miaka ya Nyuma ilikuwa inagonga negative.Nipo Njombe kwa shughuli zangu binafsi na hii ndio hali ya hewa ya leo. Baridi kali 9°C asubuhi hii na usiku ndio ilikua kali zaidi.
Nawatakia siku njema waungwana.
View attachment 1821202
Kililala mbele na yule mdingi, ama kweli hakina chama hahahaaa[emoji28][emoji28]kwamba kifo hakina chama
[emoji23][emoji23][emoji23] karibuKhaa!! huko si mtakuwa mnakojoa barafu..?
Usalama, makambako Kuna kadogo wamewahi piga mabelo ya vitenge mengi af ni wadogo kichiz...ilibid wachangiwe warudishwe vijijin SI unajua watt wa mitaan asilimia kubwa wanatokea bush....pia muda mapumziko na kadhalika lakn mitaa ya posta Kuna maduka ya nakawia kufungwa na mengine yanakesha pamoja na migahawa maeneo ya goldtowerSasa mkuu kwanini wanafunga muda huo, sababu ni baridi, ushirikina au wateja hamna?
Ok nimeelewa mkuu, angalau saa hz nimetoka nje nataka nikatembee kidogo niuone mji ila kabla ya saa kumi narudi ndani maana kabaridi bado kapoUsalama, makambako Kuna kadogo wamewahi piga mabelo ya vitenge mengi af ni wadogo kichiz...ilibid wachangiwe warudishwe vijijin SI unajua watt wa mitaan asilimia kubwa wanatokea bush....pia muda mapumziko na kadhalika lakn mitaa ya posta Kuna maduka ya nakawia kufungwa na mengine yanakesha pamoja na migahawa maeneo ya goldtower
Acha uoga mzee Ila huko unaweza kunywa chai ya Moto na ukaichkulia POA ukashtuka mdomo unabanduka ngozOk nimeelewa mkuu, angalau saa hz nimetoka nje nataka nikatembee kidogo niuone mji ila kabla ya saa kumi narudi ndani maana kabaridi bado kapo
Dah kweli hiyo mbinu ya kivitaSi umevaa Jeans Tafuta K vant ndogo weka mfuko wa nyuma. Ina madini muhimu ya kuupa mwili joto. The rest is history, thanks me later.
Kuna jamaa kanishawishi niende nae tena kwa pikipiki nimekataa, baridi hii na pikipiki si nitaganda na kuwa barafu!Mkuu ukifika makete kule ndo kuna balaa..
Kuna kipindi inapiga hadi mazao yanakauka.
Mi nilikuepo mwaka jana kuanzia mwezi wa 6-8 kuna baridi la hatari..
Na hivi najipanga nirudi tena [emoji3]
Jana nimepewa chai nikaipiga fasta, tangu asubuhi nahisi mdomo kama umeiva hiviAcha uoga mzee Ila huko unaweza kunywa chai ya Moto na ukaichkulia POA ukashtuka mdomo unabanduka ngoz
Mkuu nimekaa miaka sita nilikua mweupe pee ila nikageuka kuwa mweupe si mweupe black si blackDah huku acha wakae wenyeji hii baridi hapana. Nina siku ya tatu leo sijaoga wala sina mpango. Ntaenda kuoga hata iringa au ruaha mbuyuni
Mpaka leo wanafanya hivyo? Nilijua huu ushamba wameacha mafinga pale unakutwa mnafukuzwa kabisa wanafunga kamba soko zimaSasa mkuu kwanini wanafunga muda huo, sababu ni baridi, ushirikina au wateja hamna?