Baridi ya Njombe

Baridi ya Njombe

Nipo Njombe kwa shughuli zangu binafsi na hii ndio hali ya hewa ya leo. Baridi kali 9°C asubuhi hii na usiku ndio ilikua kali zaidi.
Nawatakia siku njema waungwana.

View attachment 1821202
Hapo bado hadi ifike chini ya sufuri.

Njombe na Sumbawanga ndio zinabaridi Sana kila nikiangalia hali ya hewa.

Sumbawanga hiyo
Screenshot_20210621-041258.png
 
Joto silipendi lakini baridi hapana wacha tu niendelee kukaa huku kwenye joto nyuzi 40.. 50 100
 
Haujapazoea tu.Kuna watoto kuanzia miaka mitano wapo saa hizi barabarani wanacheza tu na baiskeli zao za mbao zinaitwa "vibagadu"!Wako full shangwe!😂😂😂😂
Wale watoto cha sana ni wana mafua yasioisha tena yalr mazito..wenyeji wanasema yamekomaa...dah..miguu peku...wamepauka mashavu kwaajili ya baridi..dah..sitak kbs huko mimi
 
Niliwahi kuwa Lupembe kuna sehemu moja iko chini kuna kiwanda cha Chai, aisee ngoma ilifika 4 au 5 degrees Centigrade. Chakushangaza kuna mtoto asubuhi nilikutana nae yuko kifua wazi. Mimi nilipewa chai midomo ikababuka, yaani ile baridi ni balaa.
Hata mm huko kwa hicho kiwanda nilifika kesho nikageuza
 
Wakuu naombeni ushauri, kajua kametoka sasa shemeji yenu ananilazimisha nikaoge eti kisa keshachemsha maji. Me nimemwambia sijisikii kuoga maana sio lazima. Hapa tumekwazana kwa ajili ya hilo.
Eti jamani kuna haja ya kulazimishana kuoga wakati kila mtu na mwili wake halafu siku zenyewe ambazo sijaoga ni tatu yaani siku tatu tu.

Mueleweshe shemeji yetu, mwambie wastani wa mwanaume kukaa bila kuoga ni wiki 2... na hiyo ni kwa Dar!

Kwa huko mkoani wastani ni mwezi mmoja !

Kwahiyo hizo siku 3 unapaswa uongezee na zingine angalau 27 ndo kitaalam inakaa sawa!
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mueleweshe shemeji yetu, mwambie wastani wa mwanaume kukaa bila kuoga ni wiki 2... na hiyo ni kwa Dar!

Kwa huko mkoani wastani ni mwezi mmoja !

Kwahiyo hizo siku 3 unapaswa uongezee na zingine angalau 27 ndo kitaalam inakaa sawa!
Ndo me nashangaa yaani siku tatu tu analalamika ikiwa hata jasho sitokwi
 
Back
Top Bottom