Medecin
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 8,582
- 23,572
- Thread starter
- #41
Mpaka jana nilikuwa makambako sokoni ikifika saa 11 mgambo utadhani wanajeshi, wanafunga kama kuzunguka soko ukikutwa ndani ya soko fainiMpaka leo wanafanya hivyo? Nilijua huu ushamba wameacha mafinga pale unakutwa mnafukuzwa kabisa wanafunga kamba soko zima