Nakubaliana na wee sumbawanga mida hii Ni barid mno kuliko ata mbeyaSikuhizi hata Mbeya Mjini ilikuwa baridi lakini naona kwa sasa kuna joto hamna kitu yaani Sumbawanga ina barid kuliko Mbeya
Hapa kijijini kwetu tunawaita "magangwe" au "masela"!😂😂😂😂Wale watoto cha sana ni wana mafua yasioisha tena yalr mazito..wenyeji wanasema yamekomaa...dah..miguu peku...wamepauka mashavu kwaajili ya baridi..dah..sitak kbs huko mimi
Dah huku acha wakae wenyeji hii baridi hapana. Nina siku ya tatu leo sijaoga wala sina mpango. Ntaenda kuoga hata iringa au ruaha mbuyuni
Atatumia "pipi-kifua"!Mere joke!😂😂😂usisahau kua huko ukimwi ni njenje, usisingizie baridi ukafanya uzembe ulie maisha yako yote.
Mkuu umeamua umbebe na "mam-saheeb" kama Mandojo na guitar lake?Umetisha sana kwa mbinu kali 😂😂😂😂Huku niko na shemeji yenu nimetoka nae home kabisa, wanawake wa huku njombe siwataki kabisa.
Jambo jema.Kama taifa hatuna budi kufuasa haya mema uyatendayo mtumishi.👍👍Naenda nae popote mkuu napunguza gharama na vishawishi
Arusha hakuna baridi kali ni ya kawaida tuNikupoteza umeme Bure, kwa arusha, iringa, mbeya kutumia jokofu kwa sasa...
inachangia mshawasha kwa wanawake na kupelekea "ngono" ya hali ya juu na ndio sababu kuna UKIMWI sana huu mkoa na pia kuna mimba nyingi sana za watoto.Nipo Njombe kwa shughuli zangu binafsi na hii ndio hali ya hewa ya leo. Baridi kali 9°C asubuhi hii na usiku ndio ilikua kali zaidi.
Nawatakia siku njema waungwana.
View attachment 1821202
Kwa kitimoto huko balaaaaOk nimeelewa mkuu, angalau saa hz nimetoka nje nataka nikatembee kidogo niuone mji ila kabla ya saa kumi narudi ndani maana kabaridi bado kapo
Kinachofanya mtu awe mweus ni jua..ulaya hakuna jua kabisa..jua ni la manati...huku jua kali..tena ukienda huku nyanza za juu kusin..maana ya nyanda za juu manake ukipima kimo/urefu kutoka Dar kwenye bahar ni zero..huko utakuta znazoma 2500m-3000m juu...yaan ni sawa uwepo dar halaf upande ngazi yenye urefu wa mita 3000 kwenda juu. Unakuta barid kali na jua ni kali so mwil unatengeneza melanin ya kutosha ili kukukinga na mionz ya jua so hyo melanin ndo inafanya huo weusi...mkiambiwa Mungu fundi muwe munaelewa.Haizoeleki mkuu sasa ninachojiuliza mkuu mbona baridi ya huku inafanya uwe mweusi lakini ya ulaya unang'aa kama nn yan
Niliwai fanya project moja pale na shirika flan.hapo makete...kijij kizima watu wameathirika maani.na...na wana afya mbaya...wanakula viazi tu ..dah.nkasema hii dunia inamana hata kondom elim hawana..mtu anakuuliza kondom unaivaa waphuko ni mwendo wa kuunganishiana magridi ya taifa na baridi hilo, na vile imeshuka mpaka 27k,
Ulipata mama ya kujifariji nayo lakini?Mkuu ukifika makete kule ndo kuna balaa..
Kuna kipindi inapiga hadi mazao yanakauka.
Mi nilikuepo mwaka jana kuanzia mwezi wa 6-8 kuna baridi la hatari..
Na hivi najipanga nirudi tena![]()