Ina maana huko Moro hakuna wadada mpaka uje huku jukwaani.
Na mie mgeni daslamu, natafuta blanket jamani na mwamvuli. Msaada tutani.
hahahahahaha
heh, badala ya kunisaidia unanicheka jamani. masweta na mablanket daslamu ntapata wapi? nahitaji na mtumbwi pia tafadhali
ha ha ha mkuu sa huo mtumbwi utaupandia wapi ama wataka kwenda zenji weye ! He he he

Nipo Morogoro kwa muda ,ila baridi hili la masika linanisumbua ,wadada wa morogoro npieni kampani.
Chemsha maji uoge