JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 7,525
- 7,570
we ni mwehu tu!ingia barabarani na huo wazimu wa pipoz pawa kama hawajakutoa ngeu.
we ni mwehu tu!ingia barabarani na huo wazimu wa pipoz pawa kama hawajakutoa ngeu.
Kuna Prof. Maji marefu aliyeshinda Ubunge jimbo la Korogwe vijijini. Kikwete alimnadi kuwa ni Prof.safi watu wamchague.
CV yake:
Hakika CCM ina majuha watupu. Sijui kwanini Watanzania wengi hawalioni hili na wanaendelea kuchagua mijitu ambayo haijaenda hata shule.
- Darasa la 7.
- Mganga wa kienyeji.
Kazi kwelikweli.
Slaa = PhD...
Baregu = Profesa
Dr Mkwere, Dr Remmy, Dr Licky, Dr Kifimbo, Dr Cheni, Dr Manyaunyau....................