displayname
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,950
- 1,039
Walisha TIM yako kwa mwajiri wako usije kosa kamshahara ka mwezi ujao (januari 2021).Wasomi wao inawezekana wengi wamekaririshwa mavyuoni,hawana ubunifu na ushauri mzuri kwa management yao juu ya ukusanyaji mzuri na rafiki wa kodi kabisa,wakiamka na hili,wanaamua lile,yaani ni wakurupukaji hadi basi
Usije sema sikutaarifu kabla ya deadline (mstari uliokufa) 30 mwezi huu.