Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,449
- 10,756
Maelekezo kutoka juu,ili makusanyo ya mwezi yavunje rekodi.Nadhani hii mamlaka ina tatizo la ubunifu na kuja na vyanzo vipya vya mapato. Nawashauri wawashirikushe watanzania kupitia mashindano ya ubunifu, maandiko au thesis vyuoni juu ya namna ya kupata vyanzo vipya vya mapato.
Wasomi wao inawezekana wengi wamekaririshwa mavyuoni,hawana ubunifu na ushauri mzuri kwa management yao juu ya ukusanyaji mzuri na rafiki wa kodi kabisa,wakiamka na hili,wanaamua lile,yaani ni wakurupukaji hadi basiNadhani hii mamlaka ina tatizo la ubunifu na kuja na vyanzo vipya vya mapato. Nawashauri wawashirikushe watanzania kupitia mashindano ya ubunifu, maandiko au thesis vyuoni juu ya namna ya kupata vyanzo vipya vya mapato.
Wame dhamiria kutumaliza kabisa yaani.. maumivu mwanzo mwisho ππ
Hii, sasa kama mashine ina serial number, ubandike barcode ya nini? Na kwanini barcode ambayo huwekwa hata kwenye apple la shs.500/= kwenye register ya supermarket igharimu 80k, huu ujambazi sasa!TRA kama kawaida yao wamekuja na kimbwanga kingine wote ambao wamenunua EFD machine unatakiwa ukawekewe Barcode achana na kuwa hizi machine zina Serial number. Halafu hauwekewe bure unalipa 80,000 yaani ni wizi mpana sana huu. Sijui tunawatendaji wa aina gani?
Ingekuwa rahisi hivyo kila ofisi ingemnunulia mkurugenzi private jet kwa ajili ya kazi za ofisi, si unaombea return tu.., πππππ, au kwanini TRA wasifanye bure ili kuepuka kudaiwa return ya gharama za ofisi πππππππππππππππLakini mkuu hiyo hela si unaombea return maana inahesabiwa Kama Gharama za ofis.
Licha ya ujinga wa tra Ila nimegundua tanzania wafanyabiashara hawana elimu za Mambo ya kodi. Wengi ni wajinga Sana Tena mno.
Unaelewa maana ya return mkuu ? Au unadhani return unarudishiwa hela ?Ingekuwa rahisi hivyo kila ofisi ingemnunulia mkurugenzi private jet kwa ajili ya kazi za ofisi, si unaombea return tu..,, au kwanini TRA wasifanye bure ili kuepuka kudaiwa return ya gharama za ofisi
Umeelewa lakini kinacho zungumziwa?Hii, sasa kama mashine ina serial number, ubandike barcode ya nini? Na kwanini barcode ambayo huwekwa hata kwenye apple la shs.500/= kwenye register ya supermarket igharimu 80k, huu ujambazi sasa!
Hadi uwe na hiyo 80,000. Hujui kuwa sasa hivi hata elfu 80,000 ni mtiti mkuu πππ.. hasa kwa mambo ya kushtukizana ?Lakini mkuu hiyo hela si unaombea return maana inahesabiwa Kama Gharama za ofis.
Licha ya ujinga wa tra Ila nimegundua tanzania wafanyabiashara hawana elimu za Mambo ya kodi. Wengi ni wajinga Sana Tena mno.
HahahaHadi uwe na hiyo 80,000. Hujui kuwa sasa hivi hata elfu 80,000 ni mtiti mkuu.. hasa kwa mambo ya kushtukizana ?