Tanzania kuokoa shs. trillion moja kwa kuanzisha TRA EFD app

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,002
40,670
Napendekeza kuanzishwa kwa app ya 'TRA EFD machine' itakayokuwa installed kwenye smartphone za wafanyabiashara ambapo itatumika kama mbadala wa EFD machine zilizozoeleka. Kwa sasa mashine moja ya EFD inagharimu takriban Tshs.800,000/=, lets say tunawafanya biashara milioni 1 wanaohitaji hizo mashine, it means kuna kama trillion 1 itabidi itumike kuagiza hizo mashine toka nje.
How it works.
1.) Mfanyabiashara ata Login kwenye app yake kutumia TIN no. yake kama user name, na kutumia password/passcode yake ili kuweza kupata access ya hiyo app ambayo imeunganishwa moja kwa moja na TRA. Hii inamaana anaweza kutumia simu yoyote ambayo inahiyo app.

2.) Baada ya ku-Login, anaweza kufanya function zote za EFD machine kwenye hio app, mfano ili kutoa risiti, ataingiza parameters zote za aina ya bidhaa aliyouza, kiwango cha pesa alichopokea, jina la mteja alienunua, namba ya simu ya mteja, TIN ya mteja nk., na baada ya kuingiza namba yake ya siri(kama unavyoingiza kwenye tigopesa) atabonyeza submit, na moja kwa taarifa za hayo manunuzi zitatumwa TRA, na immediately TRA systems zita-generate ana electonic receipt (kama receipt za miamala ya tigopesa) na receipt hiyo itatumwa kama ujumbe kwenye simu ya mteja pamoja na app ya mfanyabisahara kumfahamisha kwamba receipt aliyoomba imetolewa kwa mteja kikamilifu.

3.) Mteja atakaposimamishwa barabarani kwa ajili ya ukaguzi wa risiti ya mzigo alionunua, ataonyesha ile meseji ambayo namba zake za kumbukumbu zitaingizwa kwenye app ya wakaguzi ambao nao watalogin kwenye simu zao zilizounganishwa na system za TRA, na wataweza kugundua kama hiyo meseji ya receipt ni authentic au ni fodgery.

4.) Tuendelee kuiboresha...

DON FRANCIS

=================================
Update: 31/02/2022

Hatimaye wamefanyia kazi wazo langu

7C16F7EA-2BE6-4BEB-880D-DC592DBF1FD0.jpeg
BB675AAF-0298-4601-BD16-25ECE957E11F.jpeg

=========================
Update: 12/01/2023

wazo zuri mkuu...
ingawa kuna changamoto nyingi. ILI IWE RAHISI ilibidi kwanza nchi na raia wake tuwe digitalized wote kwa pamoja. sijaona vision ya mapinduzi ya kiteknolojia ambayo itarahisisha wazo lako upande wa wateja na wauzaji.
 
Ni wazo zuri lakini kwa Tanzania bado sana sababu mpaka leo maofisi yote bado wanatunza receipt kwenye mafaili kwa ajili ya auditing na mambo mengine kiasi kwamba receipt ya karatasi ni lazima
 
Kama mteja hana simu? Mimi nilishaacha kufuatilia haya mambo ya risiti maana hizo pesa sioni zinafanya kazi gani? Wanatumbua wachache.
 
Wazo zuri sana ingawa hujazungumzia jinsi ya wafanyabiashara wasio na smartphone watafanyaje.
Lakini naamin linawezekana hata kama hakuna smartphone, kama nililipia TCU mwaka 2010 kwa njia ya mpesa na nkapata risiti, hili halishindikani.
Ina maana mtu akitaka makaratasi anaingia kwenye account yake anaprint risiti zote hata za miaka 5, itakuwa poa sana.
Ila sasa "network imegoma". Tatizo la network ni mzigo kwa nchi hii. Kutuma monthly return ni shughuli kuanzia tarehe 25 sasa la risiti kila siku mmmh
 
Hata mimi nilikuwa nataka niseme hivihivi mkuu hasa hapo kwenye network
 
Usalama wa simu za wateja hatarini. Wakati wa kuonyesha digital receipt kwa ofisa wa tra hapo simu zitaibwa. Watajitokeza tra officers fake.......bongo hii!!!
 
Napendekeza kuanzishwa kwa app ya 'TRA EFD machine' itakayokuwa installed kwenye smartphone za wafanyabiashara ambapo itatumika kama mbadala wa EFD machine zilizozoeleka. Kwa sasa mashine moja ya EFD inagharimu takriban Tshs.800,000/=, lets say tunawafanya biashara milioni 1 wanaohitaji hizo mashine, it means kuna kama trillion 1 itabidi itumike kuagiza hizo mashine toka nje.
How it works.
1.) Mfanyabiashara ata Login kwenye app yake kutumia TIN no. yake kama user name, na kutumia password/passcode yake ili kuweza kupata access ya hiyo app ambayo imeunganishwa moja kwa moja na TRA. Hii inamaana anaweza kutumia simu yoyote ambayo inahiyo app.

2.) Baada ya ku-Login, anaweza kufanya function zote za EFD machine kwenye hio app, mfano ili kutoa risiti, ataingiza parameters zote za aina ya bidhaa aliyouza, kiwango cha pesa alichopokea, jina la mteja alienunua, namba ya simu ya mteja, TIN ya mteja nk., na baada ya kuingiza namba yake ya siri(kama unavyoingiza kwenye tigopesa) atabonyeza submit, na moja kwa taarifa za hayo manunuzi zitatumwa TRA, na immediately TRA systems zita-generate ana electonic receipt (kama receipt za miamala ya tigopesa) na receipt hiyo itatumwa kama ujumbe kwenye simu ya mteja pamoja na app ya mfanyabisahara kumfahamisha kwamba receipt aliyoomba imetolewa kwa mteja kikamilifu.

3.) Mteja atakaposimamishwa barabarani kwa ajili ya ukaguzi wa risiti ya mzigo alionunua, ataonyesha ile meseji ambayo namba zake za kumbukumbu zitaingizwa kwenye app ya wakaguzi ambao nao watalogin kwenye simu zao zilizounganishwa na system za TRA, na wataweza kugundua kama hiyo meseji ya receipt ni authentic au ni fodgery.

4.) Tuendelee kuiboresha...

DON FRANCIS
Big up jombaa kwa wazo kuntu !! Una akili zaidi ya kichwa!! TRA msio na ubunifu kazi kwenu.
 
kwa server za ki-serikali, utasubiri kesho kutwa ujumbe wa risiti kuja

rejea NIDA, na ile system ya kulipia kodi za nyumba
 
Back
Top Bottom