wete
Member
- Nov 16, 2012
- 85
- 60
Habari zenu Wana jukwaa naomba kupata ufafanuzi Kama kuna watu wa Tra humu ndan. Kuna taarifa zinazosambazwa na maafisa wa TRA kuwa inatakiwa kufika kwa watu waliokuuzia mashine ili wakaiprogram mashine ili iwe inatoa risiti iliyo na barcode.
Kwa hyo wamesema tupeleke mashine pamoja na Tsh. 80,000 kwa ajili ya kufanya marekebisho, sasa sijajua Kama ni program mpya wanatuuzia au ni namna mpya ya kutupiga sisi wafanyabiashara wadogo na ishu yenyewe wameileta January kipindi Cha ukata mgumu.
Naomba Kama kuna wajuzi humu watutoe hili tongotongo, Nawasilisha