Barbra Hassan wa Power Breakfast Clouds FM acha gubu

Huyu mwanadada/mwanamama ndo anayeongoza kipindi cha asubuhi cha Power breakfast,lakini amekuwa na tabia ya kuwakaripia kina masoud kipanya na ciza.

Kuna kipindi wakati Ciza ndo ameingia kwenye PB,alikuwa anamkatisha katisha wakati jamaa alikuwa anaongea,tena vitu vinavyomake sense,,mara amtishie atamzimia Mic mara vile,yaani vurugu tupu..

Sasa jana kazira kipindi kizima kisa Masoud kipanya alimwambia akae kimya,yeye aongee..na hii ndo tabia yake kukaripia wenzake,lakini yeye kidogo tu anazira..

Huyu mwanamama inabidi ajirekebisha..anakera sana
Labda anadhani wako chumbani na sio kazini
 
Barbra Hassan unaiharibu Power Breakfast
Naomba niwakumbushe.....
 
Akiwepo ciza,pj na kipanya mambo yanaenda fresh,ila yeye akiwepo,kila kitu anajifanya anakijua,na ubabe wa kuwazimia mic wenzake..
Kuna wakati nilidhani ni drama zao, lakin zinapokuja kwenye issue Makini alafu unasikia Drama!! Kuna tatizo sehemu! Shukran kwa mrejesho.
 
Huyu mwanadada/mwanamama ndo anayeongoza kipindi cha asubuhi cha Power breakfast,lakini amekuwa na tabia ya kuwakaripia kina masoud kipanya na ciza.

Kuna kipindi wakati Ciza ndo ameingia kwenye PB,alikuwa anamkatisha katisha wakati jamaa alikuwa anaongea,tena vitu vinavyomake sense,,mara amtishie atamzimia Mic mara vile,yaani vurugu tupu..

Sasa jana kazira kipindi kizima kisa Masoud kipanya alimwambia akae kimya,yeye aongee..na hii ndo tabia yake kukaripia wenzake,lakini yeye kidogo tu anazira..

Huyu mwanamama inabidi ajirekebisha..anakera sana
ukisikia tabia za kike ndio hzio,mwanamke kumpangia kazi na wanaume lazima ataonesha tu udhaifu wake,mungu alikua na sababu kuwaweka chini viumbe hawa
 
Back
Top Bottom