At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,513
- 3,554
Wewe ni wa taifa gani?Ninavyosemaga hapa kuwa Watanzania ni magoigoi huwa sitanii.Nakuhakikishia hata kama Magufuli ataendesha hii nchi kwa mwaka mzima bila baraza la mawaziri wala hutasikia chochote kutoka kwa wananchi.Yaani wananchi kwao kila kitu ni sawa tu,kiwe kina manufaa kwa nchi,kiwe hakina manufaa kwa nchi au kiwe cha kuliangamiza Taifa kwao ni sawa tu.Ni magoigoi haswa!