Sasa vikao vishakaliwa vingapi na wazembe bado wapo..!!?? Wanatokaga wapi?Vikao vya CCM haviachagi wazembe salama sio wale wengine.
Kwanini unaondoa option ya kuvunjwa?
Inawezekana Raisi akavunja kabisa Baraza la mawaziri ili aanze upya. Kama atafanya hivyo atakuwa amefanya jambo sahihi.
Niliandika tetesi hii wakafutavna mm sirudii ule Uzi ungewafunbua macho.Inaelekea serikali ya rais Samia itavunja na kupangua Baraza la mawaziri
Kwa mjibu wa Samia Kuna watendaji ni wabovu ndani ya serikali yake.
NB: Watu wataanza kwenda kwa sangoma 😀😀😀!
Mama afukuze PM aunde Serikali upya keshapewa Rungu rasmi haina kulemba..
Tunasubiri majina kutoka mbinguni, au labda wazungu warudi kututawala. Maana hata wakiondolewa hao watateuliwa watanzania wengine na sisi tutaendelea kupiga kelele.Upya upi wa majina au? Hao waliopo ndo picha ya Sisi watanzania. Waziri ni nani hasa wa kuleta serious changes Kama wakuu wa nchi na hasa watendaji mf. Makatibu wakuu na wakurugenzi wa wizara hawaondokani na „ our system „. Waziri atakuwa anapiga kelele na we utatumwa kuja kuandika hapa kumdhohofisha.
Vip battle yenu na genge la MK kuna matumaini yoyote tangu kuingia kwa miss matiti mtu na nyonyo lake kilaza wa vilaza macho legeTangu lini Samia akawa serious?
CCM wenyewe wazembe zaidi ya umoja kwenye wizi, ufisadi na uporaji wa madaraka hakuna cha ziadaVikao vya CCM haviachagi wazembe salama sio wale wengine.
CAG anaripoti uozo kila mwaka so hapo kashindwa kuisimamia utekelezaji wa kazi.Pm Ana kosa gani? Ili afanikishe nini ambacho Pm na job. Description yake ameshindwa. Acha chuki za jikoni.
Vinaacha wasiojulikana tuVikao vya CCM haviachagi wazembe salama sio wale wengine.
Okay, sio mbaya najua Kuna watu humu wanaweza kutupatiaKitambo Sana Sina hiyo.
Unataka heshima gani wewe mpuuzi na bibi yako huyo asiyejielewa?Knowledge brings wisdom!🙏🙏🙏
Kweli ukiwa unakula hutakiwi kuongea.Nachokuona mjinga na imeshikiliwa akili Ni Mambo yafuatayo
1.Waziri ndio ameleta ukame?
2.Pili Hakuna mda umeme uliwahi kuacha kukatika Nchi hii Hakuna,na sababu ziko wazi Ni za kitaalamu sio swala la Waziri.Tanesco wanasema wanahitaji Til.4 kubadili njia zote za usambazaji nk ili kuzuia kukatika katika.
3.Usikariri sio kila Mkoa Kuna mgao au shida ya umeme,mikoa ya Songwe,Rukwa,Katavi,Kagera na Kigoma,Mtwara Wala hakuna kukatika katika hovyo kwa umeme kwa sababu tunatumia umeme wa Nchi Jirani na ule wa kuzalishwa ndani ya Mkoa sionwa grid ya Taifa.
Inaelekea serikali ya rais Samia itavunja na kupangua Baraza la mawaziri
Kwa mjibu wa Samia Kuna watendaji ni wabovu ndani ya serikali yake.
NB: Watu wataanza kwenda kwa sangoma 😀😀😀!
Mkuu Jaap, kuna teuzi za aina mbili, aina ya kwanza ni teuzi at presidents pleasure, yaani rais anamteua fulani anapojisikia kwa raha zake, bila kutoa sababu yoyote kwanini fulani, hizi teuzi za at the pleasure of the president, kama waziri mkuu, mawaziri, wenyeviti wa bodi, wakuu wa mikoa, ma RAS, DED na ma DC, rais anaweza kumteua yeyote na kumtumbua yeyote kwa kadri anavyojisikia, hivyo rais anaweza kutumbua PM for a reason or without anye reason, na hapaswi kuulizwa na yeyote. PM akitumbuliwa cabinet inakuwa imevunjwa. Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!Hivi mkuu mfano Rais anaweza kumtumbua waziri mkuu na akavunja ubunge uchaguzi wa wabunge ukaitishwa upya?
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
🙏🙏🙏Unataka heshima gani wewe mpuuzi na bibi yako huyo asiyejielewa?
Sasa Hivi Matumbo Joto, Mawaziri Uelekeo Kiringeni Bagamoyo
Kama kawaidaHuyo Bibi Tozo hana MAAJABU yoyote.
Hata akibadili BARAZA mara 200 litabaki vile vile, Kwasababu Watoto wa VIGOGO wanaovuruga HAWEZI kuwatoa.
Kwahiyo MAKAMBA, NAPE, MWIGULU, RIDHIWANI, MCHENGERWA wataendelea KUWEPO.
Ndo yupi huyo msumbufu?Nilisema hapa na uzi wangu ukatolewa any away Asilimia 40 wanatemwa Alafu mtoto pendwa wa mama WASUMBUFU tafsiri yake Kwa lugha kiswahili
Usishangae anachukua nafasi nyeti zaidi Bwana WASUMBUFU Au HAWATULII
Britanicca