Baraza la Mawaziri kuvunjwa?

-Wazalendo wenye uwezo wa kumsaidia kuchapa kazi, wapo nje ya bunge na nafasi 10 za wabunge wa kuteuliwa, nadhani zimejazwa zote.
-Kuna uwezekano mkubwa, Mwenyekiti na Rais wa JMT akawateua mawaziri waliohudumu kwenye Serikali za watangulizi wake,
-Mwenyekiti na Rais wa JMT,awachimbie mkwara mawaziri na makamisaa wake, watabadilika na kuchapa kazi.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Wewe Ni useless so huna impacts yeyote
Mimi lazima niwe na impact kwasababu kwanza ni Mtanzania; nina nafasi yakumshauri jambo lolote katika nyanja yoyote. Pili nina impact katika sanduku la kura coz nina vigezo vyote vya kuchagua kiongozi ninaeona anafaa katika chaguzi zote ndani ya chama mpaka uchaguzi mkuu. Kwa hayo tu utasemaje sina impact?
Kama sina impact so are you!
 
Hakuna mwanadamu mkamilifu, majaliwa ana mapungufu ila anatufaa sana hasa kwa nyakat hizi
 
Acha kuwa mjinga wewe, inamaana kelele zote hizi zinazoelekezwa juu ya wizara ya nishati na wizara ya fedha na uchumi huzisikii. You must be idiot under the fallacies then.
Mjinga Ni wewe,wizara ya Nishati itazalisha umeme kwa kutumia mkojo wako?

Kwa hiyo Wizara ndio ililta ukame? Achaga upumbavu afu usiehani Mikoa yote Kuna mgao.

Mwisho Ushaambiwa inahitaji til.4 umeme uache kukatika katika
 
Baraza likivunjwa mawaziri wana pokea mafao yao kama kawaida ? Na jeh waki tolewa then badae waka rudishwa kwa upande wa mafao inakuaje ?
 
Sioni kama italeta nafuu yeyote labda kama atambadiri February na Daktari wa Uchumi.

Wizara zenye shida ni mbili tu, Nishati pamoja na Fedha. Huko kwingine naona hakuna shida Sana.
Huyo Bibi Tozo hana MAAJABU yoyote.

Hata akibadili BARAZA mara 200 litabaki vile vile, Kwasababu Watoto wa VIGOGO wanaovuruga HAWEZI kuwatoa.

Kwahiyo MAKAMBA, NAPE, MWIGULU, RIDHIWANI, MCHENGERWA wataendelea KUWEPO.
 
Wala haihitaji kuvunja Bunge Ni kimfukuza PM tuu..

Na in fact ili awe comfortable naunga mkono PM akae pembeni Mama aanze upya
Naona kuna kitu hamkijui/kukiona.

Uwepo wa PM Majaliwa licha ya kasoro zake kadhaa, ndio unaomfanya mama yenu kidogo aonekane serikali yake ina utendaji.

Lakini siku atakayomuondoa, halafu amuweke muuza sura wa sampuli ya Makamba [kama inavyosemekana], hapo ndipo atazidi kujiharibia na kuonekana kiongozi dhaifu, anayeendesha serikali iliyojaa watendaji dhaifu.
 
Inaelekea serikali ya rais Samia itavunja na kupangua Baraza la mawaziri

Kwa mjibu wa Samia Kuna watendaji ni wabovu ndani ya serikali yake.

NB: Watu wataanza kwenda kwa sangoma 😀😀😀!
Walamba asali, possibly anataka kuwabana kwenye 18 baadhi ya watoa matamko ili kuwakata choo
 
Naona kuna kitu hamkijui/kukiona.

Uwepo wa PM Majaliwa licha ya kasoro zake kadhaa, ndio unaomfanya mama yenu kidogo aonekane serikali yake ina utendaji.

Lakini siku atakayomuondoa, halafu amuweke muuza sura wa sampuli ya Makamba [kama inavyosemekana], hapo ndipo atazidi kujiharibia na kuonekana kiongozi dhaifu, anayeendesha serikali iliyojaa watendaji dhaifu.
Wewe Ni zero kichwani Wapo watendaji wengi Makini na wa maana kuliko huyo failure unaemtetea hapa.
 
Back
Top Bottom