Nadhani aanze na DIBLO...Ni mzigo mzito sanaInaelekea serikali ya rais Samia itavunja na kupangua Baraza la Mawaziri
Kwa mjibu wa Samia kuna watendaji ni wabovu ndani ya Serikali yake.
NB: Watu wataanza kwenda kwa sangoma !

Ofisi ya PM ni shidaSioni kama italeta nafuu yeyote labda kama atambadiri February na Daktari wa Uchumi.
Wizara zenye shida ni mbili tu, Nishati pamoja na Fedha. Huko kwingine naona hakuna shida Sana.
Ndio hoja fake mliyokomaa kwamba kipindi cha Magufuli chote ndio mvua zilikuwa zinanyesha,ila kipindi chenu mvua hakuna. Hata matozo yote mliyokuja nayo baada ya Magu. Yeye alikuwa hayaoni. Kuongeza gharama za kuingiza umeme alichoweka Magu elfu 27,na nyie kupeleka mpaka laki 320+ sababu ni mvua. Mna bahati tu mnaongoza maiti. Kenya hayawezi kutokea ujinga kama huu mnaowafanyia wananchi.Angeuza umeme tokA chanzo kipi?, Bahati ni kuwa, miaka 5 ya jpm, mvua zilinyesha mno, hapakua na ukame,, kihansi ilikuwa na maji full time
HabahahaInaelekea serikali ya rais Samia itavunja na kupangua Baraza la Mawaziri
Kwa mjibu wa Samia kuna watendaji ni wabovu ndani ya Serikali yake.
NB: Watu wataanza kwenda kwa sangoma 😀😀😀!
Maendeleo yapi?, Jpm miradi yake mikubwa, amefariki bado ikiea kwenye initial stage,, na sasa mingi inaelekea kuishi,, au jpm aliacha pesa za kumalizia miradi?, Au anatumaga hela kutoka mbinguni?,
Nchi inaendelea kwa kulipa kodi, tozo ikiwemo
Mnajifanya hamuyaoni maendeleo ya Magu?. Dar kaipendezesha. Katengeneza fry over. Hata kama mtazibeza,zimepunguza foleni. Kuanzia pale ubungo katanua barabara,Hakuna tena foleni kama kipindi chenu.Maendeleo yapi?, Jpm miradi yake mikubwa, amefariki bado ikiea kwenye initial stage,, na sasa mingi inaelekea kuishi,, au jpm aliacha pesa za kumalizia miradi?, Au anatumaga hela kutoka mbinguni?,
Nchi inaendelea kwa kulipa kodi, tozo ikiwemo
Rais Samia Suluhu anataka watenda kazi wataompeleka kwenye maendeleo na sio kumludisha nyumaInaelekea serikali ya rais Samia itavunja na kupangua Baraza la Mawaziri
Kwa mjibu wa Samia kuna watendaji ni wabovu ndani ya Serikali yake.
NB: Watu wataanza kwenda kwa sangoma 😀😀😀!
Ni kweli magufuli aligfanya kazi kubwa kwa wakati wake na Rais Samia Suluhu anaendelea alipoishia na amefanya maendeleo mengi sana tena ndani ya siku chache tu za utawala wake kwaiyo acha tu tusema mama anaupiga mwingiMnajifanya hamuyaoni maendeleo ya Magu?. Dar kaipendezesha. Katengeneza fry over. Hata kama mtazibeza,zimepunguza foleni. Kuanzia pale ubungo katanua barabara,Hakuna tena foleni kama kipindi chenu.
Kipindi chake ona barabara nchi nzima zilikuwa zinaendelea kujengwa. Stand za kisasa. Majengo ya serikali kama mipakani huko.
Yote hayo aliyafanya kwa kipindi cha muda mfupi.
Nyie mmeanzisha makodi mengi na tozo kibao,mzigo kwa wananchi,lakini,hizo tozo zinapigwa tu na akina miguru. Hakuna mnachofanya. Mnazurula tu.
Mimi nimeshayasema kwa uchache aliyoyafanya mwamba Magu. Yaseme pia alipoupiga mwingiNi kweli magufuli aligfanya kazi kubwa kwa wakati wake na Rais Samia Suluhu anaendelea alipoishia na amefanya maendeleo mengi sana tena ndani ya siku chache tu za utawala wake kwaiyo acha tu tusema mama anaupiga mwingi
Yaani flyover ya mita 50 ndo big issue?, Subiri uone maendeleo 2025,, lami zimejengwa enzi za jk,,Mnajifanya hamuyaoni maendeleo ya Magu?. Dar kaipendezesha. Katengeneza fry over. Hata kama mtazibeza,zimepunguza foleni. Kuanzia pale ubungo katanua barabara,Hakuna tena foleni kama kipindi chenu.
Kipindi chake ona barabara nchi nzima zilikuwa zinaendelea kujengwa. Stand za kisasa. Majengo ya serikali kama mipakani huko.
Yote hayo aliyafanya kwa kipindi cha muda mfupi.
Nyie mmeanzisha makodi mengi na tozo kibao,mzigo kwa wananchi,lakini,hizo tozo zinapigwa tu na akina miguru. Hakuna mnachofanya. Mnazurula tu.
Huenda naye amezidiwa nguvu, Kuna Wakati unataka kufungua makucha kuwa punish unakuta ni Vijana wa Wazee walamba asali. Hivyo naye anajikuta hana la kufanyaOfisi ya PM ni shida
Rais anaogopa kuwagusa baadhi ya watu waliopo kwenye kundi analoamini linamlinda.Anajichelewesha mwenyewe tu, keshafanya mabadiliko zaidi ya mara mbili anaishia kugusagusa tu hapa na pale
Mpaka nikaanza kudhani kwamba huenda tatizo siyo mawaziri wake, huenda tatizo ni yeye
Big Ishu!!!? Inakuja kuwa big Ishu pale hicho kitu kilichojengwa kinatatua tatizo. Mfano hiyo Mita 50 kama imepunguza kabisa foleni maeneo husika lazima kiwe kitu cha kupongezwa sana. Ukizingatia walikuwepo waliotangulia walikuwa wanakusanya kodi tu hawatatui matatizo kama hayo. Lakini mwamba Magu aliyamaliza kwa muda mfupi.Yaani flyover ya mita 50 ndo big issue?, Subiri uone maendeleo 2025,, lami zimejengwa enzi za jk,,
Naomba mheshimu Rais wa nchi. Tumia vema uhuru wako wa maoni ndugu# Uhuru wa maoni isiwe jinai.
Anajichelewesha mwenyewe tu, keshafanya mabadiliko zaidi ya mara mbili anaishia kugusagusa tu hapa na pale
Mpaka nikaanza kudhani kwamba huenda tatizo siyo mawaziri wake, huenda tatizo ni yeye
Hata akivunja atajaza waislamu wenzake ambao ni wavivu haswa kazi kubwa itabaki ni kumsifia pekeeInaelekea serikali ya rais Samia itavunja na kupangua Baraza la Mawaziri
Kwa mjibu wa Samia kuna watendaji ni wabovu ndani ya Serikali yake.
NB: Watu wataanza kwenda kwa sangoma 😀😀😀!