Baraza la Mawaziri kuvunjwa?

Sio kuvunjwa, labda kufanyiwa manadiliko, kuvunjwa ni endapo wazlri mkuu atapumzishwa!.
P
Mkuu Pascal kuna mambo chini kwa chini kuwa Kiranja Mkuu kila akitoa maagizo kwa wachini wake hakuna utekelezaji kisa pale JUU.

Sababu kuu ya pale JUU ni kwamba anaona Kiranja Mkuu anajitafutia umaarufu kuelekea chaguzi zijazo. Sasa anataka kumuonyesha kuwa ana nguvu kuliko yeye.
 
Sioni kama italeta nafuu yeyote labda kama atambadiri February na Daktari wa Uchumi.

Wizara zenye shida ni mbili tu, Nishati pamoja na Fedha. Huko kwingine naona hakuna shida Sana.
Sasa kwani hizo shida Ni za Mawaziri au Hali halisi? Huwezi badili kisa wapuuzi wachache wanawachukia hata kwenye masuala yaliyo nje ya uwezo wao.
 
Nilisema hapa na uzi wangu ukatolewa any away Asilimia 40 wanatemwa Alafu mtoto pendwa wa mama WASUMBUFU tafsiri yake Kwa lugha kiswahili
Usishangae anachukua nafasi nyeti zaidi Bwana WASUMBUFU Au HAWATULII

Britanicca
Mama afukuze PM aunde Serikali upya keshapewa Rungu rasmi haina kulemba..
 
Back
Top Bottom