Baraza la Madaktari Tanzania(MCT) limchunguze Dr Omary wa Hospitali ya Selian Arusha ALMC

Mwan mpambanaji

JF-Expert Member
Apr 3, 2008
482
131
Hospital ya Selian Arusha ALMC Pamoja na Dayosisi ya Arusha Mjini imeingia kwenye kashfa nzito.Kwa muda mrefu Dayosisi hii inayoongozwa na Baba Askofu Masangwa imeshindwa kusimamia miradi mbalimbali ya Dayosisi,miaka kadhaa nyuma ilishindwa kusimamia ikiwepo hotel ya kitalii ya corridor hali iliyopelekea waumini kuchangishwa ili kulipa deni walilokuwa wanadaiwa na CRDB

Kwa sasa matatizo ya Dayosisi hii yamegeuka maumivu na vilio kwa watu wa Arusha na Tanzania kwa ujumla.Lengo la andiko hili ni kutoa tahadhari kwa watu wote kuhusu Hospitali ya Selian(ALMC).Kutokana na maswala ya ukabila na kutojitambua hospital hii chini ya Mkurugenzi wake Bwana Elisha Twisa ambaye aliteuliwa baaada ya Dr Kisanga ambaye alikuwa ameandaliwa muda mrefu kufanyiwa fitina na kuondolewa kienyeji,Bwana Elisha Twisa ameajiri Dr wa operesheni wa mishipa(Neurosurgeon) ambae hana utalaam huo wa kufanya operesheni,tangu January mwaka 2022 wagonjwa watatu waliofikishwa hospitalini hapa wamefariki Dunia kutokana na uzembe wa Dr huyu anayeitwa Dr Juma Magogo

Dr Juma Magogo aliajiriwa kutoka hospital ya Taifa ya Muhimbili ambako hadi leo hajaacha kazi.Aliomba likizo ya miezi mitatu ambayo imeisha.Akiwa muhimbili hakuwahi kuruhusiwa kufanya operesheni kwa kuwa elimu yake aliyoipata huko China imetiliwa mashaka makubwa.Alienda China kusomea na katika mazingira ya ajabu akarudi na vyeti vya super specialist wakati hajafanya general surgery hii ilitia mashaka wataalamu wa Muhimbili,lakini katika hali ya kustaajabisha Bwana Elisha Twisa Mkurugenzi wa Selian akiwa amejulishwa na Muhimbili kuwa huyu Dr Juma Magogo hajakidhi vigezo bado aliamua kumuajiri bila hata kufuata taratibu za ajira.

Dr Juma Magogo alisoma chuo cha Xiangya China mwaka 2013 ambako alitunukiwa kuwa Super Specialist wakati hakuwahi kuwa general surgeon,andiko lake pekee 1. Surviving the largest atypical parasagittal meningioma in a two-year-old child: a case report and a brief review of the literature; DOI: Redirecting, 3. Surviving penetrating brainstem injury by bamboo sticks; Rare cas

Matokeo ya uamuzi wa ovyo wa CEO wa Selian ni kupoteza maisha ya watu watatu kwa uzembe! Itakumbukwa kuwa CEO aliyekuwepo Dr Kisanga aliondolewa kwa hila na sababu za Ukabila.Ni wazi kuwa ALMC ni hatari kwa maisha ya binadamu kutokana na uzembe wa CEO Mpya Bwana Elisha Twisa

Natoa wito

1.Serikali kuanza uchunguzi mara moja wa uendeshaji wa Selian (ALMC) ili iokoe maisha ya watu,Wizara ya afya chukueni hatua

2.Baraza la Madaktari Tanzania(MCT) limchunguze Dr Juma Magogo

3.Takukuru chunguzeni kuhusu namna MCT walivompa leseni Dr Juma Magogo ambaye hana vigezo

4.Takukuru ichunguze Dayosisi jinsi ilivomwajiri CEO ambaye amegharimu maisha ya watu

5.Huduma za afya ambazo Selian inazitoa zichunguzwe na Wizara kama zinakidhi vigezo

6.Serikali na vyombo husika vichunguze uhalali wa Likizo ambayo mtumishi tayari ameshaajiriwa Sekta binafsi lakini bado anaendelea kulipwa na Serikali

=======================

SERIKALI YAPOKEA TUHUMA, ZINACHUNGUZWA

Msajili Baraza la Madaktari Tanganyika, David Paul Mnzava amesema wamepokea taarifa na wanaifanyia kazi, watatoa majibu baada ya kushughulikia suala hilo ili kujua lina ukweli au la.

============================
 
Hospital ya Selian Arusha(ALMC) ni hatari kwa maisha ya binadamu!

Hospital ya Selian Arusha ALMC Pamoja na Dayosisi ya Arusha Mjini imeingia kwenye kashfa nzito.Kwa muda mrefu Dayosisi hii inayoongozwa na Baba Askofu Masangwa imeshindwa kusimamia miradi mbalimbali ya Dayosisi,miaka kadhaa nyuma ilishindwa kusimamia ikiwepo hotel ya kitalii ya corridor hali iliyopelekea waumini kuchangishwa ili kulipa deni walilokuwa wanadaiwa na CRDB

Kwa sasa matatizo ya Dayosisi hii yamegeuka maumivu na vilio kwa watu wa Arusha na Tanzania kwa ujumla.Lengo la andiko hili ni kutoa tahadhari kwa watu wote kuhusu Hospitali ya Selian(ALMC).Kutokana na maswala ya ukabila na kutojitambua hospital hii chini ya Mkurugenzi wake Bwana Elisha Twisa ambaye aliteuliwa baaada ya Dr Kisanga ambaye alikuwa ameandaliwa muda mrefu kufanyiwa fitina na kuondolewa kienyeji,Bwana Elisha Twisa ameajiri Dr wa operesheni wa mishipa(Neurosurgeon) ambae hana utalaam huo wa kufanya operesheni,tangu January mwaka 2022 wagonjwa watatu waliofikishwa hospitalini hapa wamefariki Dunia kutokana na uzembe wa Dr huyu anayeitwa Dr Juma Magogo

Dr Juma Magogo aliajiriwa kutoka hospital ya Taifa ya Muhimbili ambako hadi leo hajaacha kazi.Aliomba likizo ya miezi mitatu ambayo imeisha.Akiwa muhimbili hakuwahi kuruhusiwa kufanya operesheni kwa kuwa elimu yake aliyoipata huko China imetiliwa mashaka makubwa.Alienda China kusomea na katika mazingira ya ajabu akarudi na vyeti vya super specialist wakati hajafanya general surgery hii ilitia mashaka wataalamu wa Muhimbili,lakini katika hali ya kustaajabisha Bwana Elisha Twisa Mkurugenzi wa Selian akiwa amejulishwa na Muhimbili kuwa huyu Dr Juma Magogo hajakidhi vigezo bado aliamua kumuajiri bila hata kufuata taratibu za ajira.

Dr Juma Magogo alisoma chuo cha Xiangya China mwaka 2013 ambako alitunukiwa kuwa Super Specialist wakati hakuwahi kuwa general surgeon,andiko lake pekee 1. Surviving the largest atypical parasagittal meningioma in a two-year-old child: a case report and a brief review of the literature; DOI: Redirecting, 3. Surviving penetrating brainstem injury by bamboo sticks; Rare cas

Matokeo ya uamuzi wa ovyo wa CEO wa Selian ni kupoteza maisha ya watu watatu kwa uzembe! Itakumbukwa kuwa CEO aliyekuwepo Dr Kisanga aliondolewa kwa hila na sababu za Ukabila.Ni wazi kuwa ALMC ni hatari kwa maisha ya binadamu kutokana na uzembe wa CEO Mpya Bwana Elisha Twisa

Natoa wito

1.Serikali kuanza uchunguzi mara moja wa uendeshaji wa Selian (ALMC) ili iokoe maisha ya watu,Wizara ya afya chukueni hatua

2.Baraza la Madaktari Tanzania(MCT) limchunguze Dr Omary

3.Takukuru chunguzeni kuhusu namna MCT walivompa leseni Dr Omari ambaye hana vigezo

4.Takukuru ichunguze Dayosisi jinsi ilivomwajiri CEO ambaye amegharimu maisha ya watu

5.Huduma za afya ambazo Selian inazitoa zichunguzwe na Wizara kama zinakidhi vigezo

6.Serikali na vyombo husika vichunguze uhalali wa Likizo ambayo mtumishi tayari ameshaajiriwa Sekta binafsi lakini bado anaendelea kulipwa na Serikali

======================================

SERIKALI YAPOKEA TUHUMA YAZIFANYIA KAZI

Msajili Baraza la Madaktari Tanganyika, David Paul Mnzava amesema wamepokea taarifa hizo na wanazifanyia kazi kujua kama zina ukweli au la kisha watatoa majibu baada ya kushughulikia suala hilo.

=======================
 
Duh.
Kwa jinsi ulivyoandika tu, inaonyesha wewe ni mfanyakazi wa hapo Serian Hospital, maana umeandika hadi details zake za utendji wake wa kazi huko alipotokea.

Vifo vya wagonjwa watatu ndio vimeibua haya!. Je waliopona chini yake ni wangapi?.

Hata huko Muhimbili mbona wapo wagonjwa wanaofariki chini ya usimamizi wa Daktari?, na huko nako ni kwa hatari kwa maisha ya Binadamu?..
 
Dr. Juma Magogo Mzimbiri​

  • RegNo: 4167
  • Qualification(s)
    • MD(2009) - Muhimbili University Of Health And Allied Sciences
    • MMed(Neurosurgery)(2016) - Central South University

  • Registration status: REGISTERED AND ALLOWED TO PRACTISE AS A SPECIALIST
 
Duh.
Kwa jinsi ulivyoandika tu, inaonyesha wewe ni mfanyakazi wa hapo Serian Hospital - Ambae haumpendi huyo mfanyakazi mwenzako.
Watu humu JF ni matahila Sana, yaani mtu akileta Jambo fulani ambalo kwa maslai ya Taifa, mnamuita mfitini,

Yaani mfano Mimi nna Jambo zito kwenye taasisi moja ya Nchi juu ya mtu fulani, lakini kamwe siwezi kulileta humu kwa matahila , yaani humu hata ukileta habari juu ya uzembe wa mtu fulani wa nafasi fulani, mizezeta itakuambia majungu tu hayo!
 
kosa la mmoja wawili lipoteze ajira za wengi

ila hii hosptl nilishaisikiasikia matatz km hayo
 
Watu humu JF ni matahila Sana, yaani mtu akileta Jambo fulani ambalo kwa maslai ya Taifa, mnamuita mfitini,

Yaani mfano Mimi nna Jambo zito kwenye taasisi moja ya Nchi juu ya mtu fulani, lakini kamwe siwezi kulileta humu kwa matahila , yaani humu hata ukileta habari juu ya uzembe wa mtu fulani wa nafasi fulani, mizezeta itakuambia majungu tu hayo!
mkuu mimi niambie hilo swala ntakuwa upande wako nakuapia
 
Back
Top Bottom