Hapana, vumilia , nami navumilia.Zamani nilikuwa najivunia kuwa Mkatoliki, siku hizi navumilia kuwa Mkatoliki. Muda si mrefu nitakuwa Mkatakona.
Hapana, vumilia , nami navumilia.Zamani nilikuwa najivunia kuwa Mkatoliki, siku hizi navumilia kuwa Mkatoliki. Muda si mrefu nitakuwa Mkatakona.
wacha kulia kulia hapa tokea mwaka 1960s mmeshindwa kujenga chuo mpaka now mmebaki kulalama serikal serikali!Usiwe mweprsi wa kusahau pia. Mwaka 1960s Nyerere aliweka jiwe la Msingi ujrnzi wa Chuo kikuu cha waislam chini ya Usimamizi wa EAMWS na ufadhili wa Gamel Nasser wa Misri.. matokeo yake Tewa Said Tewa aliyekuwa mratibu wa zoezi hilo akahamishiwa kuwa Balozi wa China. Na hatimaye serikali kuiua EAMWS na kuianzisha BAKWATA. Uongozi wote wa BAKWATA ukawekwa na Serikali. Katiba ya Bakwata ikawa Copyright ya katiba ya TANU.. Mali zote za EAMWS zikawekwa chini ya BAKWATA. BAKWATA ndio hawa wakawa wauza mali za Waislam. Sbb ni taasis iliyoanzishwa na Serikali kuwa watchdog wa waislam and not Waratibu wa maendeleo ya Waislam. Tunapoijad8lk historia tuwe wakweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu wa kwao hawawezi kumkemea.Kikwete walikuwa wanamkaba koo kha! Umesahau mapema hivyo juzi Kati si alipewa rozari kama zawadi sasa jiulize hapo!!😵
.Pugu Secondary(Catholic School)
Minaki Secondary(Catholic School)
Tosa Maganga Sec(Catholic School)
Weruweru Sec(Catholic School)
Lyamungo Sec(Catholic School)
Ilboru Sec
Ndanda Sec........(Catholic School)
Una wazimu...?
Hivi unajua wakati wanajenga hayo mashule walikuwa wanachukua nini?, historia hujasoma mkuu?Pugu Secondary(Catholic School)
Minaki Secondary(Catholic School)
Tosa Maganga Sec(Catholic School)
Weruweru Sec(Catholic School)
Lyamungo Sec(Catholic School)
Ilboru Sec
Ndanda Sec........(Catholic School)
Una wazimu...?
Plus Jecha s. Jecha
Nakushauri na wewe uchukue tasbihi umpelekee samia au majaliwa
Nyie itikadi kali si mlisema mnataka kwenda sambamba na maaskofu haya kalipizeni na nyinyi kwa kuwapatia tasbihi samia, majaliwa, sheini, balozi seif ali idi, jaji mkuu hamisi juma, na nk.
Tambua hadhi na cheo chako kama mkristo mbatizwa, timiza wajibu wako wa kujitakatifuza na kuimarisha urafiki wako na Mungu wako, shika amri ya kumpenda Mungu na Jirani kiaminifu, jiepushe na upepo wa mbisho unaotikisa wengi na mkondo mkali wa mawimbi ambao msingi wake si ktk wokovu bali miono ya kisiasa na fslsafa za "mwili kwanza, roho badae" au zile za "imani pekee yatosha, matendo mema ni matokeo". Ponya uchovu na ubaridi wako ambao kimsingi si tatizo lako bali umeambukizwa bila kujua, acha yote ukamfuase Kristo na kanisa lake kwa upya na kwa nguvu za imani, mapendo na matumaini. Msikilize Mungu achana na mwanadamu, iponye nafsi yako dhidi ya husuda ya ulimwengu na ibilisi, songa mbele ukibeba msalaba wako kila siku hadi mwisho, usichoke wala kulegea ktk kutenda mema kwani wakati ufaao utavuna mengi. Pole kwa yote yanayokuvunja moyo na kukufikisha hapo ulipofika, japo ungeyafanya kuwa fursa ya kujifunza na kujiimarisha zaidi kiimani, wewe sasa usingekuwa tena ishara ya ulegevu bali ya nguvu na mwalimu wa taifa lote la Mungu. Kumbuka haiko thawabu ya kukata tamaa bali iko ya ushindi dhidi ya vikwazo vyote vya kiimani na kimaisha, #simama#songambele.Zamani nilikuwa najivunia kuwa Mkatoliki, siku hizi navumilia kuwa Mkatoliki. Muda si mrefu nitakuwa Mkatakona.
Sio kila mtu anayetetea haki ni wa imani ile. Nimekulia ndani ya ukatoliki robo tatu ya maisha yangu. Kwa ufupi mimi imani yangu ni Ukristo! Acha udini ongea facts sio ushabiki maandazi!Nakushauri na wewe uchukue tasbihi umpelekee samia au majaliwa
Nyie itikadi kali si mlisema mnataka kwenda sambamba na maaskofu haya kalipizeni na nyinyi kwa kuwapatia tasbihi samia, majaliwa, sheini, balozi seif ali idi, jaji mkuu hamisi juma, na nk.
Roho zenu fukara zimewaukabali na mmefanana mifuko 100 ya cement hata million na nusu haizidi.Lazima nao wahamie Dodoma kama serikali inavyotaka kufanya. Haiwezekani TV iwe Dodoma halafu remote control iwe Dar😀.
Pia ahadi ya serikali ya mkoa kutoa mifuko 100 ya saruji ni kutaka kutugombanisha na FaizaFoxy hata tusio wakatoliki😛. Anyways, ndugu zangu maustaadh na maustaadhat msilaze damu, changamkeni muende nao sambamba hawa wenzetu.
Kitendo cha kufanya hiyo shughuli akiwa kwenye office ya serikali tu tayari anatumia rasilimali za serikali kama ushawishi wake wa ukuu wa mkoa, muda ambao serikali ndio inamlipa mshahara, vyombo kama gari, simu, office ambavyo ni mali ya serikali.Wanatumia hela za Makonda na wadau wake au hela ya "serikali ya mkoa" wa Dar?
TEC Kurasini imechukuliwa na serikali ghorofa zaidi ya tano city center so usidhani ni msaada huo, wakatoliki niwajuavyo sio watu wa kulialia waonewe huruma,Bakwata nanyie mnahaki ya kuomba eneo kama wenzenu hawa. Mkizubaa baadae mtatueleza kwa nini hamtumii fursa hii ya kuomba kama wenzenu. Msilale fofofoooo..
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Hilo zigo la michango natwishwa mimi mwamini. Sitohi hata senti tano.
Ni vizuri..hakuna ubaya..Sasa Kila Kitu kinaenda Dodoma, Utasikia na Bakwata nao warasema na wao wanahamia Dodoma