Baraza la Maaskofu Katoliki kuhamia Dodoma

Kanisa katoliki mna kesi ya kujibu na misalaba minene shingoni isiyokuwa na manufaa kwa watu! Mko kimya kama mmebwi maji mdomoni! Kila kitu kipo sawa na utawala huu, hamna pa kukemea? mbona JK mlimsakama sana au kwa vile ni dini ingine?
wazo zuri, haya tueleze JK alivyosakamwa, tueleze kwasasa unadhani wanapashwa kuondoa misalaba kwa lipi
 
Lazima nao wahamie Dodoma kama serikali inavyotaka kufanya. Haiwezekani TV iwe Dodoma halafu remote control iwe Dar😀.

Pia ahadi ya serikali ya mkoa kutoa mifuko 100 ya saruji ni kutaka kutugombanisha na FaizaFoxy hata tusio wakatoliki😛. Anyways, ndugu zangu maustaadh na maustaadhat msilaze damu, changamkeni muende nao sambamba hawa wenzetu.
Ni mifuko moa tu mkuu kumbuka kule tumewapa gorofa tano
 
Kanisa katoliki mna kesi ya kujibu na misalaba minene shingoni isiyokuwa na manufaa kwa watu! Mko kimya kama mmebwi maji mdomoni! Kila kitu kipo sawa na utawala huu, hamna pa kukemea? mbona JK mlimsakama sana au kwa vile ni dini ingine?
Huyu wa kwao hawawezi kumkemea.Kikwete walikuwa wanamkaba koo kha! Umesahau mapema hivyo juzi Kati si alipewa rozari kama zawadi sasa jiulize hapo!!😵
 
USIWE MWEPESI WA KUSAHAU, CHUO KIKUU CHA WAISLAM MOROGORO MAJENGO YALE YALIKUWA NI YA TANESCO, MALI YA UMMA, RAIS MKAPA AKAWAPA WAISLAM WAFANYE CHUO KIKUU CHAO, MBONA WAKRISTO HATUKUSEMA? NYINYI VIMFUKO VYA SIMENTI MIAMOJA AMBAVYO HATA MILIONI MBILI HAIFIKI TAYARI MSHAANZA KELELE!KWELI MNAROHO MBAYA SANA
Hamkusema? Acha uongo wewe mpaka leo mnasema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kanisa katoliki mna kesi ya kujibu na misalaba minene shingoni isiyokuwa na manufaa kwa watu! Mko kimya kama mmebwi maji mdomoni! Kila kitu kipo sawa na utawala huu, hamna pa kukemea? mbona JK mlimsakama sana au kwa vile ni dini ingine?
Mungu akusamehe
 
USIWE MWEPESI WA KUSAHAU, CHUO KIKUU CHA WAISLAM MOROGORO MAJENGO YALE YALIKUWA NI YA TANESCO, MALI YA UMMA, RAIS MKAPA AKAWAPA WAISLAM WAFANYE CHUO KIKUU CHAO, MBONA WAKRISTO HATUKUSEMA? NYINYI VIMFUKO VYA SIMENTI MIAMOJA AMBAVYO HATA MILIONI MBILI HAIFIKI TAYARI MSHAANZA KELELE!KWELI MNAROHO MBAYA SANA
well said
 
Comment ya FF imenichekesha, ananyang'anywa kadi ya uanachama
 
Back
Top Bottom