Sooth
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 3,922
- 5,628
Liko wapi jengo alilowajengea Bakwata? Una picha ya jengo hilo? Ok, let's say ameshalijenga; je amejenga kwa kukusanya pesa za washirika wake au ametumia pesa za "serikali ya mkoa"?
Liko wapi jengo alilowajengea Bakwata? Una picha ya jengo hilo? Ok, let's say ameshalijenga; je amejenga kwa kukusanya pesa za washirika wake au ametumia pesa za "serikali ya mkoa"?
Liko wapi hilo ghorofa? Au ni la upepo kwamba halionekani. Pia kalijenga Makonda au "serikali ya mkoa" wa Dar?Ni mifuko moa tu mkuu kumbuka kule tumewapa gorofa tano
Wanatumia hela za Makonda na wadau wake au hela ya "serikali ya mkoa" wa Dar?Kina ff wenyewe wameanza ujenzi wa makao makuu pale kinondoni!
Bora..nao wanakunywa divai za bure.Hata usiopotoa makao makuu yatajengwa na kazi ya Bwana itasonga mbele
Ya kwako kanywee Eagle
Sent using Jamii Forums mobile app
Neno kuntu!Kanisa katoliki mna kesi ya kujibu na misalaba minene shingoni isiyokuwa na manufaa kwa watu! Mko kimya kama mmebwi maji mdomoni! Kila kitu kipo sawa na utawala huu, hamna pa kukemea? mbona JK mlimsakama sana au kwa vile ni dini ingine?
Sasa huu mfano wa waislam kupewa chuo cha Tanesco utatolewa mara ngapi? Huu mfano umesha-expire. Kutuletea mambo yaliyofanyika miaka 15 iliyopita wakat kuna ishu za motomoto za mwaka 2017 ni kutuchezea akili.USIWE MWEPESI WA KUSAHAU, CHUO KIKUU CHA WAISLAM MOROGORO MAJENGO YALE YALIKUWA NI YA TANESCO, MALI YA UMMA, RAIS MKAPA AKAWAPA WAISLAM WAFANYE CHUO KIKUU CHAO, MBONA WAKRISTO HATUKUSEMA? NYINYI VIMFUKO VYA SIMENTI MIAMOJA AMBAVYO HATA MILIONI MBILI HAIFIKI TAYARI MSHAANZA KELELE!KWELI MNAROHO MBAYA SANA
Ujinga kama baba yakoAcha udini na ujinga ishu hapa ni kanisa kuhamia Dodoma hizo ngonjera zako tupa kule
Sent using Jamii Forums mobile app
Na baba yako piaUsamehewe
Hata Mimi moyo unadunda kwa Kazi!!! Du! Du! Du!Sasa naanza kuamini niyasikiayo, wameona itakuwa ngumu kuimonitor wakiwa nayo mbali
dikteta mudi wen aliyekuwa anabaka watoto wadogo kila siku mnatakia asemehew(rehma) kwa dhambi hiyo ya ubakaji na ulawiti!Sikushangai. Ndivyo dini yako na wazazi wako, kama unao, walivyokufundisha.
Wakati NBC inauzwa Wislam walitaka kununua chuo cha benki kule Iringa kilichojitokeza wakauziwa Katoliki (RUCU) badala yake. Ikaonekana noma kwa kujisafisha ndio Waislam wakapewa chuo cha TANESCO, na mlolongo huo huo ukafanya vyuo vilivyokuwa vya madhehebu mbalimbali warudishiwe wenyewe, kama kile cha Lushoto (Lutheran) cha Dodoma (Anglican) hivyo gemu ndivyo lilivyoanza.USIWE MWEPESI WA KUSAHAU, CHUO KIKUU CHA WAISLAM MOROGORO MAJENGO YALE YALIKUWA NI YA TANESCO, MALI YA UMMA, RAIS MKAPA AKAWAPA WAISLAM WAFANYE CHUO KIKUU CHAO, MBONA WAKRISTO HATUKUSEMA? NYINYI VIMFUKO VYA SIMENTI MIAMOJA AMBAVYO HATA MILIONI MBILI HAIFIKI TAYARI MSHAANZA KELELE!KWELI MNAROHO MBAYA SANA
vip Bakwata nayo itahamia dodoma?Ndipo utapoelewa kwanini dikteta anafanywa mtakatifu.
Usiwe mweprsi wa kusahau pia. Mwaka 1960s Nyerere aliweka jiwe la Msingi ujrnzi wa Chuo kikuu cha waislam chini ya Usimamizi wa EAMWS na ufadhili wa Gamel Nasser wa Misri.. matokeo yake Tewa Said Tewa aliyekuwa mratibu wa zoezi hilo akahamishiwa kuwa Balozi wa China. Na hatimaye serikali kuiua EAMWS na kuianzisha BAKWATA. Uongozi wote wa BAKWATA ukawekwa na Serikali. Katiba ya Bakwata ikawa Copyright ya katiba ya TANU.. Mali zote za EAMWS zikawekwa chini ya BAKWATA. BAKWATA ndio hawa wakawa wauza mali za Waislam. Sbb ni taasis iliyoanzishwa na Serikali kuwa watchdog wa waislam and not Waratibu wa maendeleo ya Waislam. Tunapoijad8lk historia tuwe wakweli.USIWE MWEPESI WA KUSAHAU, CHUO KIKUU CHA WAISLAM MOROGORO MAJENGO YALE YALIKUWA NI YA TANESCO, MALI YA UMMA, RAIS MKAPA AKAWAPA WAISLAM WAFANYE CHUO KIKUU CHAO, MBONA WAKRISTO HATUKUSEMA? NYINYI VIMFUKO VYA SIMENTI MIAMOJA AMBAVYO HATA MILIONI MBILI HAIFIKI TAYARI MSHAANZA KELELE!KWELI MNAROHO MBAYA SANA
Waulize bakwata.vip Bakwata nayo itahamia dodoma?
Kwani kuna shida gani kanisa kuhamishia makao makuu yake dodoma? Pesa za ujenzi serikali haitatoa bali wakatoliki pekee yao. Kwanini wahamishe inaweza kuwa ni kuunga mkono juhudi za serikali katika mchakato wa kuhamia dodoma, kuweka shughuli za kanisa katikati ya nchi nk. Udini hadi kwenye mambo yasiyowahusu ,mbona shida sanaNdipo utapoelewa kwanini dikteta anafanywa mtakatifu.
Mashehe wanalizungumziaje hiliNdipo utapoelewa kwanini dikteta anafanywa mtakatifu.
Roma locuta causa finitoNinaagiza ndani ya siku kumi zoezi la upatikanaji wa kiwanja sehemu wanapohitaji liwe limekamilika. Sisi tutawapa kila aina ya msaada kwa haraka, nasi wana Dodoma tutoe ushirikiano” ameeleza.