Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 28,076
- 35,664
👆Sijasikia popote juhudi zozote za kumtafuta aliyesaini barua ya uteuzi, sijasikia popote Chadema wakisema kuna forgery au kuripoti popote forgery ile, hivyo hoja za bandiko hili zinasimama, wabunge hao 19 wa Chadema, hawakujiteua wenyewe, waliteuliwa na kiongozi wa Chadema aliyesaini barua yao ya uteuzi!. Hakuna forgery yoyote iliyofanywa kwenye uteuzi wao ndio maana Chadema hawajaripoti forgery popote!.
Hizi ni tuhuma nzito sana kwa uongozi wa Cdm, hawa wanawake wangepewa muda wa kujieleza wangesema mengi.
Nguruvi3 zitto junior Tindo jmushi1 Kichuguu lwaitama1