Baraza Kuu la CHADEMA lakutana Mlimani City

Mhe Mbowe sasa jenga ofisi. Gharama mliotumia kwenye vikao vyte Mlimani City ingeweza kujenga jengo la ghorofa moja. Tumieni force aacount kama inavyotumiwa na Serikali ya awamu ya Tano. Tena Tshs.1.5bn mtajenga ofisi ya nzuri na ya kutisha. Chukueni ushauri wangu.
 
Masauni yuko likizo nini? mliambiwa msifanye mikutano ya siasa ni wakati wa kuleta maendeleo tu siasa mda wake utafika
 
Wakati ndiyo kinaelekea mwisho wake. Sasa hakina kiongozi kwenye vijiji, mitaa wala vitongozi mwaka keso 2020 hakitakuwa na Rais, Mbunge wala Diwani labda ACT Wazalendo kama nacho kitaacha usaliti.
Ndoto za mjinga
 
Back
Top Bottom