Baraka za Kaskazini, Hatimaye Makonda akiri jambo muhimu

Baraka za Kaskazini, Hatimaye Makonda akiri jambo muhimu

Kwa mara ya kwanza jana Makonda amesema jambo ambalo ni ufunguo wa maisha mambo muhimu sana kama unataka kubadilisha maisha yako Tanzania ni haya
1. Uoe au Kuolewa Kaskazi
2. Usome Kaskazini
3. Uzaliwe Kaskazini

Watu wa Kaskazini Kilimanjaro na Arusha wana IQ kubwa 120+ ukiwa karibu nao mtazamo wako Mindset inabadilika kabisa.

Kila mtu mwenye moja au mawili ya hayo mambo kwanza hakati tamaa, anajua maisha yake ni jukumu laki 100%

Hasubirii serekali kumpa maendeleo binafsi, kila mtu na kila kitu anakiona fursa
Vp kuhusu tuhuma za kunyima watu haki za kuishi?
 
😂😂😂😂😂😂round hiii ....kaskazini watatumika kama condom hawataamini macho yao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom