Barafu la Mlima Kilimanjaro lakauka, mlima mweupeee


Mara nyingi huwa namuuliza ana miaka mingapi? Maana huwa ana post picha humu ambazo hazina maana kabisa.

Mara ooh nyumba yangu, mara mke wangu, mara familia yangu nashangaa huu hajasema "mlima wangu". Ana mambo ambayo wanafanya watoto wa miaka mitano.
 
Tazama Ramani utaona nchi nzuri ...............................mhhhhhhhhh unataka ujasiri kuuimba huu wimbo miaka hii
 

Ghee!
Kaaazi kweli kweli!
 

Hujagusia kabisa the meltdown of polar ice. Umekimbia angle hiyo ya discussion.

Of course barafu ikikauka, maana yake mito inayopata maji kutokana na barafu itakauka. That is a logical tautology.

How can you argue against that?

Mambo mengine ya significance ya amount ni secondary.

Hata kama kuna kijito kimoja tu kinachopata maji kutokana na barafu - which need not be the case- kwa hao watu wanaotegemea kijito hicho that is significant enough.

The idea kwamba kuna mtu mwenye authority katika haya mambo is laughable. Usiniambie nani ana authority, niambie logic ya idea yake. Aristotle alikuwa an authority in all matters, aka deduce uongo ulioaminika kwa karibu miaka 2000. Kila mtu aliyesoma anaogopa kumpinga, kwa sababu yeye ni Aristotle, an authority. Mpaka akaja Galileo akafanya experiment na kugundua alichosema Aristotle, the authority on physics, kuhusu vitu vizito kuanguka kwa kasi zaidi in a natural state kuwa si sawa.

So don't flaunt authorities, every authority you can cite has a counter authority I can cite since the matter is now rather political. Nipe logic. Don't try to intimidate me with names and authorities.

You are missing the forest by looking at the trees.

Even though the direct contribution of snow/ ice to the rivers and rivulets is statistically insignificant, the contribution of this ice to the hydrosystem is not to be underrated.

You cannot remain with a stable ecosystem after the depletion of the ice.

And you cannot argue against a logical tautology.

That's like arguing a widow is not a woman.
 
Hujagusia kabisa the meltdown of polar ice. Umekimbia angle hiyo ya discussion.

Hiyo mbona ipo wazi. Na kwenye post yangu sehemu ya mwisho nimegusia. Mimi sijapinga kuyeyuka kwa theluji kule Arctic. Ila ninachokisema ni juu ya siasa za wanasiasa na wanaojifanya wataalamu, eti kwamba kuyeyuka huko kunapelekea sea level rising. Ukweli wa kisayansi ni kwamba, kwa kiwango kikubwa sana ongezeko hilo linasababishwa na litasababishwa na thermal expansion ya maji ya bahari; kwani maji yanapochemka yana-expand. Hivyo kupelekea sea level rising.
Siasa za kuyeyuka kwa theluji na sea level rising ni mbinu za kupata sympathies kutoka kwa wanadamu, ni siasa kati ya UNFCCC na IPCC.......

Of course barafu ikikauka, maana yake mito inayopata maji kutokana na barafu itakauka. That is a logical tautology. How can you argue against that? Mambo mengine ya significance ya amount ni secondary.

Chifu, nimeshakwambia katika Mlima KLM hilo suala halina logic. Sasa wewe bado unang'ang'ana nalo. Nimekupa na matokeo ya tafiti yanayodhihirisha hivyo, ila bado tu. Basi, nakuomba tena, ebu leta matokeo ya tafiti katika mlima yanayooonyesha madhara ya kuyeyuka kwa theluji hiyo kwenye mito inayozunguka ikolojia ya Mlima. Nafahamu Mto Pangani ni unategemea sana ikolojia ya mlima; sasa ebu leta ushahidi wa kuonyesha athari za kuyeyuka kwa theluji katika mito hiyo.


Kumbe tunaelewana. Kwa wakati huu, huyo niliyemtaja ndiye mwenye authority, mpaka atakapotokea mtu mwingine na kusema vingine ama tofauti, basi hiyo authority ndipo itakapokoma. Mbona hilo ni jambo la kawaida katika akademia na dunia ya kiuwanazuoni!!

So don't flaunt authorities, every authority you can cite has a counter authority I can cite since the matter is now rather political. Nipe logic. Don't try to intimidate me with names and authorities.

Na nimekuomba ulete ushahidi kuonyesha tofauti na vile nimekuonyesha. Wewe ulileta ushahidi wa kwanza, mimi nikakupa counter arguments. Sasa leta counter arguments nawe......

Logic ya idea inayopatikana katika counter arguments nilizokupa, ndiyo inamfanya huyo bwana Hemp awe na authority katika hili......la sivyo kama arguments zake zingekuwa illogical hasingekuwa na authority......katika akademia, authority inapatikana kutokana na citations, sasa unapoongelea suala la kuyeyuka kwa theluji ya mlima KLM, most cited people ni hao, Professors Lonnie Thompson na Andreas Hemp.


Bado unanilisha maneno chifu.

If you read careful what I wrote about glaciers, montane forest and hydrology in Mt. KLM, you can't write what you have written above.

I can't underrate the contribution of glaciers for the mountain's ecosystem functioning.

I did say this: melting glaciers have caused exposure of black 'dirty' surfaces at the mountain. Such surfaces absorb sun's rays, causing increased temperature within the mountain. The increased temperature has led to intesified wildfires in montane forests, leading to reduction of the forests' capacities to create 'cloud forests' that are pivotal for hydrological functions.

Therefore, without glacier melting, we couldn't see the reduction of montane forests' capacities to form 'cloud forests'.

If you do understand the logic behind, you wouldn't say that I underrate glaciers' contribution to the mountain's ecosystems.

My only problem is in your first reply to the topic, "Barafu ikikauka maana yake mito inayopata maji kutokana na barafu ya mlima nayo itakauka." Sasa nimekuomba ulete ushahidi wa mito itakayokauka kutokana na kukauka kwa barafu hapo Mlima KLM.
 


Taswira ya Mlima Kilimanjaro inavyoonekana kwa sasa baada ya kuyeyuka Barafu yote, ikiwa imebakia sehemu kidogo tu juu ya Kilele cha Mlima huo, ni kutokana na Mabadiliko ya Tabianchi na uhalibifu wa Mazingira uliokithiri


Mkuu sio weli unachosema na Picha iliyopo hapo. Nakuheshimu sana na umekuwa msaada sana hapa jf lakini kwa hili la mlima sio kweli hata kidogo. Nina Picha za leo za mlima kilimanjaro,nimeupiga mwenyewe saa tano asubuhi nimeshindwa kuziweka hapa ila nawrza kutuma kwenye mail yako Kama utanitumia. Mlima una barafu ya kutosha, hata mlima kibo pia una barafu. Please naomba tu nipe email yako nikutumie ili Uweke hapa. Nipo hapa Omi kibosho jirani kabisa na mlima
 
Nitumie kwenye email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com




Mlima Kilimanjaro. [h=1]Mount Kilimanjaro[/h]
 
Barafu la Mlima Kilimanjaro lakauka Mlima mweupeee.




Taswira ya Mlima Kilimanjaro inavyoonekana kwa sasa baada ya kuyeyuka Barafu yote, ikiwa imebakia sehemu kidogo tu juu ya Kilele cha Mlima huo, ni kutokana na Mabadiliko ya Tabianchi na uharibifu wa Mazingira uliokithiri. (Picha na

SUFIANIMAFOTO
).



Taswira ya mlima huo na Kilele cha Mlima Kibo.


Mlima Kilimanjaro Kushney, kama unavyoonekana ukiwa hauna Barafu huku iliyobaki ikielekea kumalizika kwa kuyeyuka. (Picha na SUFIANIMAFOTO).

Chanzo.
Barafu la Mlima Kilimanjaro lakauka Mlima mweupeee.
 
Huo ni mlima kilimanjaro wa wapi...kama ni huu wetu wa hapa moshi...kinyume chake ni kweli zaidi
 
Yaani ndio ukweli wenyewe. Mto Pangani/Pangani river basin yote kutakuwa na matatizo mengi sana sababu the entire ecosystem will be affected. Watu wanadhani ni mzaha lakini itakuwa balaa mkuu

Sina hakika sana maana somo la jiografia nilisoma zamani kidogo. Ila kwa mujibu wa uelewa mdogo nilionao nadhani maji ya mito inayotokea milimani ni chemichemi, na ndio maana kuna milima isiyo na theluji lakini bado kuna mito inatokea pande hizo.
 
Reactions: Nzi

Nikafikiri huwa ananitatiza mwenyewe. Mlima Kilimanjaro umefikia hatua hiyo lini? Watu watambue kuna picha nyingine zinatengenezwa mitandaoni kuharibu sifa ya kitu, wengine bila kujua mnasambaza.
Niko huku mlima uliko, mbona mlima wetu hauna taswira hiyo?
 
Nyote mnaompinga MziziMkavu mnakosea na kusahau kitu kimoja, kwamba tafiti zimeshafanyika hapo mlimani, tena huko kileleni. Watafiti waliweka kambi kwa muda wa miaka 2 hapo kileleni, walichukua layers na layers za theluji hapo kileleni, wakazisoma na kugundua kwamba areal coverage ya theluji mlimani hapo imepungua kwa takribani asilimia 80, kutoka 12 km[SUP]2[/SUP] hadi 2.6 km[SUP]2 [/SUP]kati ya mwaka 1912 na 2000.

Hivyo ni ukweli usiopingika sasa kwamba eneo lenye theluji katika Mlima KLM limepungua sana. Pengine inaweza ikawa siyo kama anavyoonyesha Mzizimkavu kutokana na majira ambapo picha hizo zilipigwa.
 
Last edited by a moderator:

Hizi ndizo arguments ambazo hata pale ninapolala usiku wa manane nikizipitia hapa JF i never regret!! Mkuu your arguments hold water!! ndio maana kuyeyuka kwa mabarafu huko north pole kumepelekea visiwa kuzama. Halafu jambo lingine kwa mleta uzi barafu haikauki bali inayeyuka!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…