Marumeso
JF-Expert Member
- Oct 3, 2009
- 1,408
- 1,332
Kwa uchunguzi wangu mdogo barabara za Dar ni moja ta sehemu hatari sana hasa nyakati za usiku.
Pengine kwa sababu muda huo kunakua hakuna matrafiki na watu wengi wanakuwa wametoka kupata moja moto ukitembea huwezi kukosa wastani wa ajali 3-5 huko mabarabarani na zingine zinagharimu maisha ya watu kwa sababu watu wanajiachia sana barabarani muda huo. Mwanadsm beware na safari usiku.
Sent using Jamii Forums mobile app