PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,517
- 13,182
Tulimpiga makofi tu ila tulimsaidia mana asingefika salama huko alikokuwa anaendaSafi,ila sio vizuri kujichukulia sheria mkononi labda kwa hicho kipondo jamaa roho ingeacha mwili inamaana nyinyi mngeingia matatizoni.
-Ndumilakuwili-
Uko sahihi kabisa.Kwakweli ili kuanza kupunguza tatizo,nashauri serikali ifunge bar zote kuanzia ijumaa mpaka jtatu asubuhi.![]()
.
Nafikiri tutakuwa tumepunguza tatizo angalau 60%.
Kwa uchnguzi wangu mdogo barabara za dar ni moja ta sehemu hatari sana hasa nyakati za usiku.
Pengine kwa sababu muda huo kunakua hakuna matrafiki na watu wengi wanakuwa wametoka kupata moja moto ukitembea huwezi kukosa wastani wa ajali 3-5 huko mabarabarani na zingine zinagharimu maisha ya watu kwa sababu watu wanajiachia sana barabaran muda huo. Mwanadsm beware na safari usiku.
Sent using Jamii Forums mobile app
ulevi unasababisha kwa asilimia kubwaKwa uchnguzi wangu mdogo barabara za dar ni moja ta sehemu hatari sana hasa nyakati za usiku.
Pengine kwa sababu muda huo kunakua hakuna matrafiki na watu wengi wanakuwa wametoka kupata moja moto ukitembea huwezi kukosa wastani wa ajali 3-5 huko mabarabarani na zingine zinagharimu maisha ya watu kwa sababu watu wanajiachia sana barabaran muda huo. Mwanadsm beware na safari usiku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa uchnguzi wangu mdogo barabara za dar ni moja ta sehemu hatari sana hasa nyakati za usiku.
Pengine kwa sababu muda huo kunakua hakuna matrafiki na watu wengi wanakuwa wametoka kupata moja moto ukitembea huwezi kukosa wastani wa ajali 3-5 huko mabarabarani na zingine zinagharimu maisha ya watu kwa sababu watu wanajiachia sana barabaran muda huo. Mwanadsm beware na safari usiku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usicomment kabla ya kufikiri. Ajali haiwapati walevi tu, Na sio kila aendeshaye usiku ni wa anasa Na starehe, wengine wanakuwa kwenye majukumu yao kikazi, wengine wanapaswa Na dharura Na hujikuta wamepatwa na janga la ajali bila kutegemea Na wengine kusababishiwa. Nakushauri kabla ya kukomenti hebu shirikisha na ubungo wako kidogo.
Ni kweli. Jumamosi usiku nikiwa zangu mitaa ya sinza kuna jamaa kidogo anitangulize mbele za haki. Jamaa alikuwa na kivitz chake anatokea kule La Chaaz. We jamaa wa kivitz cha kijivu kama unasoma hapa pokea p.u.m.b.a.vu zako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiseme ivyo mkuu kwa sababu saa zingine ajali inawacost hata wale wasiokua na hatia na ni ajali hizo hizo za pombeYaani hadi huruma.
Nyingi za ajari hizo husababishwa na shetani pombe.
Anyway, kila mtu atavuna alichopanda.
Acha wafe tu, hakuna namna.
Raha yako is equal to kifo chako
Vipi kuhusu kodi mkuu,,? Tutawezaje kuwasomesha watoto wetu bure bila kukusanya kodi kwenye hizi bar na maeneo mengine,,,,Kwakweli ili kuanza kupunguza tatizo,nashauri serikali ifunge bar zote kuanzia ijumaa mpaka jtatu asubuhi.![]()
.
Nafikiri tutakuwa tumepunguza tatizo angalau 60%.
Pole sana ndugu,...Just recently imeondoka na ndugu yangu ..
tatizo ni vijana wenye vigari vyao vya kijapani.Kwa uchunguzi wangu mdogo barabara za Dar ni moja ta sehemu hatari sana hasa nyakati za usiku.
Pengine kwa sababu muda huo kunakua hakuna matrafiki na watu wengi wanakuwa wametoka kupata moja moto ukitembea huwezi kukosa wastani wa ajali 3-5 huko mabarabarani na zingine zinagharimu maisha ya watu kwa sababu watu wanajiachia sana barabarani muda huo. Mwanadsm beware na safari usiku.
Sent using Jamii Forums mobile app