mob
JF-Expert Member
- Dec 4, 2009
- 2,262
- 1,360
Mkuu hizi mambo zilinifanya kuanzia 2015 siendagi kwenye harusi hata siku moja na sitoki tena kwenda viwanja.Nilikoswa mara mbili moja sam mujoma road jamaa aliachia altezza yake ile kumkwepa tu mbele nikasikia ajali,pili ilikuwa mataa ya ubungo gari zimeruhusiwa kabisa mtu alitokea huko kimara sijui ilikuwaje ni fuso alivyonikosa Mungu alisaidia.Ajali zinakuwa nyingi hasa morogoro road ,bagamoyo road na mwai kibaki.Kuna haja polisi usiku kupima kilevi