Barabara ya Moshi - Arusha yafungwa...

Barabara ya Moshi - Arusha yafungwa...

msaka mahela

Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
10
Reaction score
3
polisi mkoani arusha imefunga barabara ya arusha moshi kuwazuia wanachi na wakereketwa wa chadema wa mkoa wa kilimanjaro ambao wanaingia mjini arusha kushinikiza kuachiwa kwa viongozi wao.....! habari zaidi zitafuata..................
 
Nipe chupa ya maji na kitambaa cheupe. Natamani ningekuwa najua kutumia usafiri wa ndege asilia (ungo)
 
hii ni thahiri ccm iliiba kura kumuweka kikwete rais watu wameichoka ccm na watu wake kama wanafikiri watafanikiwa kwa hili wamenoa wafanye hrk hasa hili la dowans moto utaendelea mpaka watueleze ukweli tena ukweli tupu.
 
Aluta continua............Arusha , Moshi, na Dar es salaam tutaanza
 
basi wafunge hata ya dar-arusha kwani sisi tunajiandaa kuja huko kushinikiza/vita......kufa walikufa mababu zetu wakidai bendera lakini sisi lazima tufe ili tudai uhuru kutoka kwa kikwete na mafisadi
 
Dar Salaam mko wapi? Viongozi wetu wako ndani ati.
 
kwa sasa hapa arusha watu wana mpango wakufuata polisi mmoja mmoja nyumba hadi nyumba ili kulipitiza kisasi, hii iktokea itakuwa ni hatari zaidi maana kuna wale vijana ambao wameletwa kutoka CCP moshi, hawana makazi hapa arusha. tusibiri chinjachinja nyingine kama kenya.
 
polisi mkoani arusha imefunga barabara ya arusha moshi kuwazuia wanachi na wakereketwa wa chadema wa mkoa wa kilimanjaro ambao wanaingia mjini arusha kushinikiza kuachiwa kwa viongozi wao.....! habari zaidi zitafuata..................


Dah! hii ineonekana ni kam kosovo, au ukanda wa gaza
 
A town,tafadhari msiue mtu....kinachotakiwa ni kuwapeleka icc wahusika wote......
 
raia uwa polisi yeyeote atayeingia kwenye anga zako. Polisi waelewe kuwa sisi raia ni wengi kuliko wao na hawana uwezo kuzuia nguvu ya uma, tutwachinja tu hawa wauaji.
 
huu ujinga uliosababishwa na hawa wahuni wanaoitwa viongozi wa chadema umeligharimu taifa gharama nzito

huna lolote weye. Hujui hata mfululizo wa hili sakata uliza wenzio wakujuze kabla ya kuanza kuropoka tu.
 
huu ujinga uliosababishwa na hawa wahuni wanaoitwa viongozi wa chadema umeligharimu taifa gharama nzito

huu ujinga uliosababishwa na hawa wahuni wanaoitwa viongozi wa CCM umeligharimu taifa gharama nzito
 
Back
Top Bottom