Barabara ya Moshi - Arusha yafungwa...

Barabara ya Moshi - Arusha yafungwa...

CCM wameongeza polisi kutoka Moshi, na sisi tunaongeza wanaharakati kutoka moshi, wakiweka ugoko sisi tunaweka chuma.
 
polisi mkoani arusha imefunga barabara ya arusha moshi kuwazuia wanachi na wakereketwa wa chadema wa mkoa wa kilimanjaro ambao wanaingia mjini arusha kushinikiza kuachiwa kwa viongozi wao.....! habari zaidi zitafuata..................

hiyo road block iko kwa wapi mkuu?
 
huu ujinga uliosababishwa na hawa wahuni wanaoitwa viongozi wa chadema umeligharimu taifa gharama nzito

Nakubaliana na wewe...inawezekana kuwa viongozi wa Chadema ni wahuni kweli kama unavyosema.

Lakini ngoja tuuweke huu "uhuni" kwenye scale ya 0 - 10 (0=uhuni hakuna; 10=uhuni uliokithiri).

Uhuni wa viongozi wa Chadema = 0.9
Uhuni wa viongozi wa CCM na serikali yake = 9.9
 
We MTU WA PWANI chunga mdomo wako hapa hatukurupuki na sisi siyo wahuni tuna ushahidi wa jinsi Polisi kwa kukosa hekima tu wamesababisha maafa ambayo busara ingetumika kidogo tu ingeepukika. Kama huna cha kusema fanya shughuli nyingine ndg.
 
Wewe mtu wa pwani ni wa pwani kweli, nadhani akili zako hazina akili, unataka kusema hawa viongozi wa CDM ni wahuni???, wewe na hao unaowatetea ndio wapumbavu, maana heri ya mjinga anaelimika kuliko mpumbavu. Soma alama za nyakati, bei ya umeme inavyopanda haitawabill wana CDM pekee bali na wanaccm pia. Tafuta maneno ya kusema humu ndani na si upumbavu wako. Hivyo umeona hili linaligharimu taifa sio? Na Dowans linawagharimu wana CDM na upinzani pekee sio? Pole sana mkuu wa wajinga wote Tz
 
Mwanzo wa mwisho wa ccm ndo huu unaanzia arusha. Watu hawadanganyika. Hasira zote zitaenda kwa ccm. Angalia media kesho. Labda magazeti ya rostam yawatetee ccm.
 
mi comment yangu ile ile......THE SAGA CONTINUES......haya yote CCM waliyaona mapema kuwa yatatokea, wakayafumbia macho, USALAMA WA TAIFA WAKIWEMO. Sasa yametokea na yataendelea kutokea....

Mungu ibariki Tanganyika, wabariki na wananchi wake, wajaze nguvu wapigania uhuru wote, na walaze pema peponi waliotangulia mbele ya haki kutokana na mapambano ya ukombozi wa Tanganyika, Amen!
 
huu ujinga uliosababishwa na hawa wahuni wanaoitwa viongozi wa chadema umeligharimu taifa gharama nzito

Wewe mtu wa pwani ni wa pwani kweli, nadhani akili zako hazina akili, unataka kusema hawa viongozi wa CDM ni wahuni???, wewe na hao unaowatetea ndio wapumbavu, maana heri ya mjinga anaelimika kuliko mpumbavu. Soma alama za nyakati, bei ya umeme inavyopanda haitawabill wana CDM pekee bali na wanaccm pia. Tafuta maneno ya kusema humu ndani na si upumbavu wako. Hivyo umeona hili linaligharimu taifa sio? Na Dowans linawagharimu wana CDM na upinzani pekee sio? Pole sana mkuu wa wajinga wote Tz
 
kwa sasa hapa arusha watu wana mpango wakufuata polisi mmoja mmoja nyumba hadi nyumba ili kulipitiza kisasi, hii iktokea itakuwa ni hatari zaidi maana kuna wale vijana ambao wameletwa kutoka CCP moshi, hawana makazi hapa arusha. tusibiri chinjachinja nyingine kama kenya.

Hii sasa ni mbaya ndiyo maana hawatakiwi kukaa uraiani. "Nji" hii safari bado ni ndefu kuwatoa hawa mafisadi.
 
huu ujinga uliosababishwa na hawa wahuni wanaoitwa viongozi wa chadema umeligharimu taifa gharama nzito

Mtu wa pwani una haki ya kutoa maoni yako. lakini uangalie hayo maoni yanakudhalilisha kiasi gani au kwasababu unaamini huwezi ukatafutwa
 
wameyataka wenyewe acha waone nguvu ya umma,na wataacha dharau.Kwa nini kuiba haki ya mtu mchana kweupe???
 
Polisi wameanzisha ngoma ya KIDUKU na sasa wanalazimika kuicheza kwa staili zote kwa majasho. Wamezoea kuwaonea Zanzibar na DSM, hawajui kwamba Moshi Arusha ni wapiganaji mahiri hata wanawapeleka vijana kusomea ujeshi Monduli na Moshi.
 
ccm na viongozi wake watajuta kuchakachua mpaka umeya, damu iliyomwwagika itawaalaani hadi kizazi chao chiote
 
mtu wa pwani au pumbaf wa pwani? mizigo iliyotokana na ufisadi wa viongozi wa ccm ndo imeleta huu mzigo we zuzu!
 
hii ni thahiri ccm iliiba kura kumuweka kikwete rais watu wameichoka ccm na watu wake kama wanafikiri watafanikiwa kwa hili wamenoa wafanye hrk hasa hili la dowans moto utaendelea mpaka watueleze ukweli tena ukweli tupu.
alaa kumbe kuwazuia chadema ni ili wasitoe data za dowans!
 
Back
Top Bottom