Barabara ya Moshi - Arusha yafungwa...

WAFUNGE NA ANGA NA NJIA YA MAJINI KAMA IPO ILA THIS IS THE TIME.mWISHO WA UBAYA AIBU NDUGU ZANGU.
 
kwa sasa hapa arusha watu wana mpango wakufuata polisi mmoja mmoja nyumba hadi nyumba ili kulipitiza kisasi, hii iktokea itakuwa ni hatari zaidi maana kuna wale vijana ambao wameletwa kutoka CCP moshi, hawana makazi hapa arusha. tusibiri chinjachinja nyingine kama kenya.

Ndio maana tunasema akija ocampo baada ya kutokea hayo unayoyaombea yatokee, dr slaa na wenzake watatokea mlango gani kujiosha na mauaji hayo?
 
raia uwa polisi yeyeote atayeingia kwenye anga zako. Polisi waelewe kuwa sisi raia ni wengi kuliko wao na hawana uwezo kuzuia nguvu ya uma, tutwachinja tu hawa wauaji.

Masikini ya Mungu nakuonea huruma tu.
yaelekea unatamani sana yatokee kama yaliyotokea rwanda
shame on you!!!!!!!!
 
Zimwi likujualo halikuli mpaka mwisho

Watasalimu amri tu wasicheze na nguvu ya umma.
 
kaka kati ya ccm na police wake na chadema ni nani wajinga?

Kwa hili mjinga ni yule aliambiwa usiandamane lakini akakaidi, kanakwamba haitoshi unawashawishi watu wavamie vituo vya polisi kukomboa viongozi waliokamatwa
 
Tatizo lilikuwa kuwazui maana walitaka kutoa data zote kuhusu DOWANs pamoja na mwelekeo wa katiba mpya wakaona itakuwa noma bora tuwazuie maana itakula ni hatari kwa serikali kama mambo yote yatakuwa hadharani.Yaani hata inashangaza maana BBC wana habari kuliko vyombo vya habari Tanzania sasa inakuaje?
Ni kupambana mpaka kieleweke hapo hakuna kulala hii ndiyo njia pekee iliyobakia kwa sasa
 
we mtu wa pwani hujui chochote....kacheze ngoma zako na raisi wako wa puani...tumia akili kukoment...
 
Back
Top Bottom