Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,257
Miaka 54 baada ya Uhuru.Bado miundombinu yetu ni ya kubahatisha. Hapa kazi tuu
Wangetukopesha wasingetuamuru tuvunje
.
My take: Ni lini Dar es salaam itakuwa na barabara nzuri?
Wakuu,
Kwa wale ambao tumepita Morogoro road kwa siku mbili hizi tumeshuhudia barabara mpya ya Morogoro kuanzia Ubungo hadi Kimara inavunjwa hali inayosababisha foleni kubwa sana.
Duru zinasema Benk ya Dunia ambao walitoa pesa za kufadhili mradi huo hawakuridhika na kiwango cha barabara hiyo ukilinganisha na pesa iliyotolewa.
My take: Ni lini Dar es salaam itakuwa na barabara nzuri angalau za kufikia kiwango cha majiji kama ya Nairobi, Mombasa na Kisumu?
Raia wa tanzania ila ni mkaazi wa kenyaWee jamaa ni raia wa wapi?h
Lakini utani pembeni, bila kujali uraia wako, inaonyesha unajali maendeleo ya Tz pia!
Tukiongea tunaonekana wabaya, kwa hiyo hizo hela zilizoenda si hasara jamani
ina maana na elimu yao yooote walishindwa kuyaona haya kabla?wakitumia fact hiyo kujitetea tutawadharau zaidiUkitaka na maelezo kidogo kuhusu kwann wana repair pale ni kwamba ule upande unaona wanatengeneza ni ambao una flexible pavement ambayo iko designed Kwa ajili ya kusustain short lived live loads ila pale mafoleni yana sababisha long lived live loads ndo maana barabara inazingua ila upande wa mwendokasi kupo poa Kwa sababu ile ni rigid pavement iko designed kusustain static loads Kwa muda mrefu
Mkuu tumekopeshwa, nani akupe pesa ya bure?
Ukitaka na maelezo kidogo kuhusu kwann wana repair pale ni kwamba ule upande unaona wanatengeneza ni ambao una flexible pavement ambayo iko designed Kwa ajili ya kusustain short lived live loads ila pale mafoleni yana sababisha long lived live loads ndo maana barabara inazingua ila upande wa mwendokasi kupo poa Kwa sababu ile ni rigid pavement iko designed kusustain static loads Kwa muda mrefu
Tukopeshwe afu tupewe na masharti ya kuitumia? Inavyovunjwa nani anajenga tena ? Ni hao world bank ama ni sisi kwa hela zile zile za mkopo toka kwao
Hili libarabara limetutesaaa mweeeh! nikikumbuka yale mafoleni wakati inatengenezwa, kero na shida za kufungiwa njia hakuna u turn, tulivumilia tukijua baadae tutafurahia barabara. Matokeo yake ujinga jinga tuuuuuu, imejengwa chini ya kiwango, nyembamba kama njia za mbugani, hovyooooo kabisaaaaaaaaaaaaa, hovyoooooooooo
Tukiongea tunaonekana wabaya, kwa hiyo hizo hela zilizoenda si hasara jamani