Barabara mpya ya Morogoro (STRABAG) inavunjwa

Barabara mpya ya Morogoro (STRABAG) inavunjwa

Watu c walikuwa wanasema pato la taifa lilikuwa likitumika xn kwenye ujenzi wa miundo mbinu? Kumbe ule ulikuwa ni msaada wa bank ya dunia?

Pole sana kumbe haujui kwamba budget ya Tanzania inaendeshwa na benki ya dunia pamoja na IMF?
Fedha hizo ndizo inafadhili miradi unayoona CCM tunasimama na kujinasibu katika majukwaa...
 
Wakuu,

Kwa wale ambao tumepita Morogoro road kwa siku mbili hizi tumeshuhudia barabara mpya ya Morogoro kuanzia Ubungo hadi Kimara inavunjwa hali inayosababisha foleni kubwa sana.

Duru zinasema Benk ya Dunia ambao walitoa pesa za kufadhili mradi huo hawakuridhika na kiwango cha barabara hiyo ukilinganisha na pesa iliyotolewa.

My take: Ni lini Dar es salaam itakuwa na barabara nzuri angalau za kufikia kiwango cha majiji kama ya Nairobi, Mombasa na Kisumu?

UKAWA Waonyeshe mfano!
 
Wakuu,Kwa wale ambao tumepita Morogoro road kwa siku mbili hizi tumeshuhudia barabara mpya ya Morogoro kuanzia Ubungo hadi Kimara inavunjwa hali inayosababisha foleni kubwa sana.Duru zinasema Benk ya Dunia ambao walitoa pesa za kufadhili mradi huo hawakuridhika na kiwango cha barabara hiyo ukilinganisha na pesa iliyotolewa. My take: Ni lini Dar es salaam itakuwa na barabara nzuri angalau za kufikia kiwango cha majiji kama ya Nairobi, Mombasa na Kisumu?
Toa mfano mwingine kote huko ni hovyo tu, usitupe mfano wa mji wenye barabara moja iwe tangazo
 
Waziri wa barabara kipindi hicho ni nani vile?
 
Ukitaka na maelezo kidogo kuhusu kwann wana repair pale ni kwamba ule upande unaona wanatengeneza ni ambao una flexible pavement ambayo iko designed Kwa ajili ya kusustain short lived live loads ila pale mafoleni yana sababisha long lived live loads ndo maana barabara inazingua ila upande wa mwendokasi kupo poa Kwa sababu ile ni rigid pavement iko designed kusustain static loads Kwa muda mrefu

Kakudanganya nani
 
Watanzania ina maana hatujui tofauti ya kuvunja na kurekebisha? mie napita na sioni wapi barabara imevunjwa zaidi ya marekebisho yanayofanyika katika baadhi ya sehemu machache ..msipende kukuza mambo hata kama mmeamua kuwa waandishi hapa Jf, mjitahidi msiwe makanjanja
 
Watanzania ina maana hatujui tofauti ya kuvunja na kurekebisha? mie napita na sioni wapi barabara imevunjwa zaidi ya marekebisho yanayofanyika katika baadhi ya sehemu machache ..msipende kukuza mambo hata kama mmeamua kuwa waandishi hapa Jf, mjitahidi msiwe makanjanja

ImageUploadedByJamiiForums1447929805.711156.jpg
Hapo wanafanyaje? Layer ya juu ya asphalt concrete yote imetolewa.....Kiswahili chake ni kubomoa 😜😜😜
 
Toa mfano mwingine kote huko ni hovyo tu, usitupe mfano wa mji wenye barabara moja iwe tangazo

atakupa mfano gani na hapo ndio mwisho wake! huyo kila siku mfano wake ni huo huo!
 
Sasa kama wanarekebisha baada ya kuona kasoro tatizo nini?
 
barabara inavunjwa kws kuwa iko chini ya kiwango na magufuli akipeleka taarifa hivyo bank ya dunia imekubali ns mkandaradi anarudia kwa garama zake maana ameshtakiwa,Hapo kazi Tu
 
Kama iko chini ya kiwango analudia ni kawaida iyo umesahau ile ya mbagala au wewe ni Mgeni kwenye sector ya ujenzi.
Ghalama za kurudia ni zake
 
Back
Top Bottom