Barabara mpya ya Morogoro (STRABAG) inavunjwa

Barabara mpya ya Morogoro (STRABAG) inavunjwa

Wewe falcon mombasa, kweli uone bomoa bomoa ukose picha? Huu ni uongo. Weka picha. Na hata ungekua huna wewe, wengine walio JF hawajaona? Umedanganya!!
 
Last edited by a moderator:
Siijui nani alitoa wazo la kujengwa BRT Dsm. Sina hakika kama anaijua dsm vzur. Ametuletea kero zaidi.

Andrew chenge ndiye mtoa wazo,nayeye ndiye aliyekuwa analeta mabasi yaendayo kasi. Kwa Tanzani tuna uzembe mkubwa sana wa kusimamia miradi,hasa iliyofadhiliwa huwa tunaona kama hatuna uwezo wa kuizuia kuendelea kama haijakidhi viwango kwa kuogopa mamlaka za juu.
 
Tatizo bongo kila aina ya magari yanapita barabara hizohizo yawe ya mizigo tena inamizigo iliyozidi kina nayo yanazama tu humohumo unategemea nn? Hii ndio shida kubwa
 
Hivi wametufadhili au wanetukopesha?!

Natafuta kitufe cha kulike sikioni....
Ile barabara wametufadhili kwa kutukopesha..... Na kwa kuwa ile ni Bank bac mkopo wake una masharti..... Huwez jua, lbd km kitu mlichokubaliana hakijawa mutarudia na deni liongezeke ad akili zikae sawa...
 
safiii sana tunatakiwa kuisoma namba mbaka akili zitukae sawa ni mbele kwa mbele naupenda sana uo msemo ni mzuri
 
Wakwangue yote tu ibaki ya mashimo na vumbi halafu waunge na ile ya bonyokwa ndio itokezee kibamba
 
Hili ilikuwa dili la Magufuli alichonga mchango woote kisha akija kuingiliwa na akina JK wanafanya mradi wao. Mungu atawalipa kwa kweli.
 
Tatizo bongo kila aina ya magari yanapita barabara hizohizo yawe ya mizigo tena inamizigo iliyozidi kina nayo yanazama tu humohumo unategemea nn? Hii ndio shida kubwa

acha utetezi, kwan mizani za wanapma nn?
 
Wakuu,

Kwa wale ambao tumepita Morogoro road kwa siku mbili hizi tumeshuhudia barabara mpya ya Morogoro kuanzia Ubungo hadi Kimara inavunjwa hali inayosababisha foleni kubwa sana.

Duru zinasema Benk ya Dunia ambao walitoa pesa za kufadhili mradi huo hawakuridhika na kiwango cha barabara hiyo ukilinganisha na pesa iliyotolewa.

My take: Ni lini Dar es salaam itakuwa na barabara nzuri angalau za kufikia kiwango cha majiji kama ya Nairobi, Mombasa na Kisumu?
Mkuu umechemsha. Kisumu na mombasa hakuna barabara yenye hadhi ya jiji.
 
Watu c walikuwa wanasema pato la taifa lilikuwa likitumika xn kwenye ujenzi wa miundo mbinu? Kumbe ule ulikuwa ni msaada wa bank ya dunia?
 
Wakuu,

Kwa wale ambao tumepita Morogoro road kwa siku mbili hizi tumeshuhudia barabara mpya ya Morogoro kuanzia Ubungo hadi Kimara inavunjwa hali inayosababisha foleni kubwa sana.

Duru zinasema Benk ya Dunia ambao walitoa pesa za kufadhili mradi huo hawakuridhika na kiwango cha barabara hiyo ukilinganisha na pesa iliyotolewa.

My take: Ni lini Dar es salaam itakuwa na barabara nzuri angalau za kufikia kiwango cha majiji kama ya Nairobi, Mombasa na Kisumu?
Duh... hii sasa kali... watu watakuwa wamepiga hapo...... imenikumbusha uwanja wa taifa...watanzania waliopiga wapo hai wanadunda mitaani wakati mchina waliyeshirikiana naye inasemekana kanyongwa huko kwao...hii ndiyo TZ zaidi ya tuijuavyo
 
Baada ya ujenzi kukamilika kuna kitu kinaitwa "defect liability period" ambapo kwa miradi ya TZ ni mwaka mmoja.. Huu ni muda ambao kwa uharibifu wowote mkandarasi inabidi afanye ukarabati kwa gharama zake..Hii ni kawaida kwenye miradi ya barabara.
 
Barabara ina mapungufu mengi upana ni tatizo na maji ya mvua yanatuama njiani badala ya kuzama kwenye mashimo maalumu.
 
Back
Top Bottom