Bar maarufu ya Kisuma (Sugar Ray) yafungwa

Bar maarufu ya Kisuma (Sugar Ray) yafungwa

CODE501

Senior Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
172
Reaction score
113
Kwa wale wazee wa monde a.k.a maji a.k.a biere wanapafahamu sana mahala hapo.

Taarifa ni kwamba baada ya kuipangisha bar hiyo kwa muda mrefu na hata kubadilishwa jina toka sugar ray kuwa kisuma night club, hii leo imefungwa rasmi kwa takribani miezi 4 kupisha ukarabati na kuirudisha kwa mmiliki wake.

ANGALIZO: Huduma ile ya dada haipo tena. Band za muziki na wapenzi wa soccer
 
Ile huduma yetu ya mafisi(dada poa)inapatikana next bar...baaada ya sugar ray..bei nzuri tu bao elf 5.staili kifo cha mende au mbuzi kagoma
 
hizo kisuma zipo nyingi tu wewe unamaanisha ipi
temeke
mbagala sabasaba
mbagala rangitatu
au ipi ??
 
Wewe unahofia mwajiri kukosa mfanyakazi au unahofia mfanyakazi kupoteza ajira!
mfanyakazi-dadapoa
mwajiri-mnunuzi
CODE501
 
Last edited by a moderator:
Taarifa rasni

bar ya avalange sinza opp na shell ya gbp nayo yafungwa rasmi....wawekezqji wa bongomovie kuikarabati ufunguzi feb 20
 
Natamanizifungwekabisa badalayakuhamisha mwekezqji huyu kwendq mwingine
 
Wewe unahofia mwajiri kukosa mfanyakazi au unahofia mfanyakazi kupoteza ajira!
mfanyakazi-dadapoa
mwajiri-mnunuzi
CODE501

Hofu yangu ni kwa wote mwajiri na mfanyakazi#mtzedi
 
Last edited by a moderator:
Kisuma ya Temeke sokota

aiseee jana usiku mida ya saa tano nilipita hapo kuanzia sokota hadi hapa polisi kila baada ya hatua chache unakutana na machangu inayofungwa ni baa au night club maana pale pel kuna kisuma lodge
 
Back
Top Bottom