Bar maarufu ya Kisuma (Sugar Ray) yafungwa

Bar maarufu ya Kisuma (Sugar Ray) yafungwa

Jana mida ya SAA name usiku nilipita pale,watu wanakula monde kama kawa.na ile Huduma nyingine ya madada poa nayo ipo active kwa kiwango cha kuridhisha.
 
Jana mida ya SAA name usiku nilipita pale,watu wanakula monde kama kawa.na ile Huduma nyingine ya madada poa nayo ipo active kwa kiwango cha kuridhisha.

Habari ya mwaka Jana hii
 
LEO KISUMA BAR imepata msiba wa mmoja wa wakurugenzi wake
 
Kwa wale wazee wa monde a.k.a maji a.k.a biere wanapafaham sana mahala hapo.
Taarifa ni kwamba baada ya kuipangisha bar hiyo kwa muda mrefu na hata kubadilishwa jina toka sugar ray kuwa kisuma night club,hii leo imefungwa rasmi kwa takribani miezi 4 kupisha ukarabati na kuirudisha kwa mmiliki wake.

ANGALIZO: huduma ile ya dada poa haipo tena!!!
Band za muziki na wapenzi wa soccer
nipo migomigo Kisuma hapa njoo ule bia.
 
Back
Top Bottom