Bar maarufu ya Kisuma (Sugar Ray) yafungwa

aiseee jana usiku mida ya saa tano nilipita hapo kuanzia sokota hadi hapa polisi kila baada ya hatua chache unakutana na machangu inayofungwa ni baa au night club maana pale pel kuna kisuma lodge

Iliyofungwa ni night club
 
Kwa wale wazee wa monde a.k.a maji a.k.a biere wanapafaham sana mahala hapo.
Taarifa ni kwamba baada ya kuipangisha bar hiyo kwa muda mrefu na hata kubadilishwa jina toka sugar ray kuwa kisuma night club,hii leo imefungwa rasmi kwa takribani miezi 4 kupisha ukarabati na kuirudisha kwa mmiliki wake.

ANGALIZO: huduma ile ya dada poa haipo tena!!!
Band za muziki na wapenzi wa soccer
Siyo wote wanaoijua hiyo bar ipo sehemu gani?
 
Ile huduma yetu ya mafisi(dada poa)inapatikana next bar...baaada ya sugar ray..bei nzuri tu bao elf 5.staili kifo cha mende au mbuzi kagoma

Nayakumbuka yale maandiko yasemayo "WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA"
 
Kwa wale wazee wa monde a.k.a maji a.k.a biere wanapafaham sana mahala hapo.
Taarifa ni kwamba baada ya kuipangisha bar hiyo kwa muda mrefu na hata kubadilishwa jina toka sugar ray kuwa kisuma night club,hii leo imefungwa rasmi kwa takribani miezi 4 kupisha ukarabati na kuirudisha kwa mmiliki wake.

ANGALIZO: huduma ile ya dada poa haipo tena!!!
Band za muziki na wapenzi wa soccer

Unamtangazia nani?
 
Tatizo mafisi wa temeke wachafu..labda wakunyonye tu..unalipia buku 3.
 
usiogope nimezaliwa dar nimekulia dar kiufupi hakuna mahali dar ambapo sijafika

mkuu kuzaliwa dar cyo sababu ya kujua viwanja vyote sema wewe inaonekana wa huko huko Temeke ndo maana ,,,
 
hizo kisuma zipo nyingi tu wewe unamaanisha ipi
temeke
mbagala sabasaba
mbagala rangitatu
au ipi ??

Hiyo Kisuma Ukisoma Vizuri Ni Sugar Ray Ambayo Ipo Tmk Niaje Ww?
 
Kwa ufupi hii ni ile ya pale mwembe yanga.
 
Kwa wale wazee wa monde a.k.a maji a.k.a biere wanapafaham sana mahala hapo.
Taarifa ni kwamba baada ya kuipangisha bar hiyo kwa muda mrefu na hata kubadilishwa jina toka sugar ray kuwa kisuma night club,hii leo imefungwa rasmi kwa takribani miezi 4 kupisha ukarabati na kuirudisha kwa mmiliki wake.

ANGALIZO: huduma ile ya dada poa haipo tena!!!
Band za muziki na wapenzi wa soccer

PELEKA JUKWAA LINALOHUSIKA, HAPA NI ENEO LA ESCROW TU, PELEKA JUKWAA LA matangazo kawatangazie mashetani wanzako.
 
Back
Top Bottom