Ruwamangi
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 1,379
- 2,573
Haha mwanaume huwa akereki! Anakasirika.Kwahiyo jamaa alivyokuuliza kakukera kinoma!
Haha mwanaume huwa akereki! Anakasirika.Kwahiyo jamaa alivyokuuliza kakukera kinoma!
Yeah wamefunguaWashafungua mana sijapanda mda huko
La Chaz au Rombo GreenviewBaa gani yenye milupo sinza
Kona bar kuna wadada classic?Kona bar kuna wadada classic sijawahi ona. Uje ujaribu na lambo mkuu enzi za ujana Wangu nilitembelea sana hapo ila saivi uzee na watt wanahitaji wale matunda ,sato fresh na maziwa. Nahela ni ya kawaida sana. Nikitaka kuitoa nawaza sana naona bora niwachukulie homa hata paja LA mbuzi Azima choma wakaenjoi kuwa na baba yao.
Sema Fanya ujinga wote ukiwa kijana na Hela ya bumu ila mshahara uwazie kuutumia kutengeneza ili uwe unakufanyia kazi uwahi kustaafu
Iko wapi hiiKwetu pazuri kumekucha
Tabata, ila nayo tangu waifanyie renovation haina vibe kabisaIko wapi hii
Baa ya hongera nimefungwa baada ya mmiliki wa eneo kumpandishia kodi mpangaji.Jana nimepita Sinza, nikakuta ile bar maarufu ya Hongera imefungwa. Nimeikumbuka hii bar enzi zangu, nilikuwa napiga kilaji pale halafu nasogea pale kona baa kuchukua warembo. Kwa wanaojua nini kimetokea
Jana nimepita Sinza, nikakuta ile bar maarufu ya Hongera imefungwa. Nimeikumbuka hii bar enzi zangu, nilikuwa napiga kilaji pale halafu nasogea pale kona baa kuchukua warembo. Kwa wanaojua nini kimetokea