Bar maarufu Sinza, Hongera Bar imefungwa

Atakuw kafilisika mkuu,awamu hii pesa ziko kwenye ujenzi.Biashara ngumu ,nakushauri uendelee kwenda Kona baa kuchukua milupo uipunguzie maumivu ya maisha.

Ila angalizo: ukimwi upo
 
Kafilisika kafunga, ila hapo hapo sinza kuna baa zaidi ya 10 ambazo ni nzuri balaa zimefunguliwa.
Shida bar ilikuwa ya kizamani sana, watu sasa hivi wanafungua bar ambayo ipo classic
Na hivi tunavyoongea kuna mtu anataka kufungua kitu classic
Bar sasa hivi huwez weka viti nje chini ya miti kama alivyofanya huyo hongera
 
mawazo ya zamani yalikuwa finyu kiasi kikubwa sana
 
Kafilisika kafunga, ila hapo hapo sinza kuna baa zaidi ya 10 ambazo ni nzuri balaa zimefunguliwa.
Shida bar ilikuwa ya kizamani sana, watu sasa hivi wanafungua bar ambayo ipo classic
Na hivi tunavyoongea kuna mtu anataka kufungua kitu classic
Bar sasa hivi huwez weka viti nje chini ya miti kama alivyofanya huyo hongera
Ameshindwa kwenda na wakati
Farewell hongera bar
Lots of memories miaka ya 2008...
 
Kafilisika kafunga, ila hapo hapo sinza kuna baa zaidi ya 10 ambazo ni nzuri balaa zimefunguliwa.
Shida bar ilikuwa ya kizamani sana, watu sasa hivi wanafungua bar ambayo ipo classic
Na hivi tunavyoongea kuna mtu anataka kufungua kitu classic
Bar sasa hivi huwez weka viti nje chini ya miti kama alivyofanya huyo hongera
Kweli mkuu , biashara siku izi inataka udambwidambwi wakutosha ili kuwavutia wateja.
 
Kafilisika kafunga, ila hapo hapo sinza kuna baa zaidi ya 10 ambazo ni nzuri balaa zimefunguliwa.
Shida bar ilikuwa ya kizamani sana, watu sasa hivi wanafungua bar ambayo ipo classic
Na hivi tunavyoongea kuna mtu anataka kufungua kitu classic
Bar sasa hivi huwez weka viti nje chini ya miti kama alivyofanya huyo hongera
Chini ya Jiwe kila mtu atafilisika
 
Jana nimepita Sinza, nikakuta ile bar maarufu ya Hongera imefungwa. Nimeikumbuka hii b ar enzi zangu, nilikuwa napiga kilaji pale afu nasogea pale Kona baa kuchukua milupo. Kwa wanaojua nini kimetokea
Jamaa alikuwa halipi kodi tu, watu wengi waliishi mjini bila kulipa kodi na kujiona wajanja, mbona Bar kibao zina shamiri kipindi hiki? Magufuli alisema wababaishaji watalikimbia jiji zama hizi.
 
Back
Top Bottom