Bar maarufu Sinza, Hongera Bar imefungwa

Bar maarufu Sinza, Hongera Bar imefungwa

Jana nimepita Sinza, nikakuta ile bar maarufu ya Hongera imefungwa. Nimeikumbuka hii bar enzi zangu, nilikuwa napiga kilaji pale afu nasogea pale Kona baa kuchukua warembo. Kwa wanaojua nini kimetokea
Haihusiani na uchumi wakati tulioikia, Hongera imenunuliwa na tajiri wa madini toka Moshi kilimnjaro, akawa anasubriri mwenye mkataba wake wa Bar uishe, sasa umeisha na ndiyo kaamua kufunga na kufikiri la kufnya.
mnunuzi kanunua nyumba nyingi sana Sinza,.
 
Wakati mmiliki wa hongera baa ana agiza twiga cement kutoka wazo hill, baba yangu akamuomba aunganishwe kwenye oda ya cement ili apate mifuko 200. Bahati mbaya on process mzee(hongera) akafariki kabla ya mzigo kufika kwa mzee wangu. Baada ya msiba cement ilifika lkn mzee wangu alisita kudai chake mifuko 200 sbb walifanya hiyo kitu bila maandishi kwani walikua marafiki. Kwa uaminifu mkubwa mke wa mzee hongera aliwaambia ndugu zake kua anakumbuka mumewe ktk stori alimwambia nimenunua cement lkn kuna mifuko 200 ni ya rafiki yangu. Ndo baba akaitwa kuthibitisha na kupewa mifuko yake yote 200. Mzee wangu alikua loyal wa hongera bar
 
Sina data sawa ila hata na wewe huna.
Nionyeshe bar 1 iliyofungwa nikuonyeshe 10 zilizofunguliwa.
Pia kuhusu sinza, watu wengi sasa hivi wanaenda tabata kula bata.
Tabata ya 2015 sio ya sasa, kuthibitisha hili nakuomba leo hii jmosi njoo 40 40, uone pesa inavyotumbuliwa.
Pia sehemu nyingine ambayo zimefunguliwa loilunge za heshima na nzuri ni mikocheni. Huko napo kuna balaa sana
Mkuu wewe ni noma machimbo yote wayajua 😁
 
Mkuu wewe ni noma machimbo yote wayajua [emoji16]
Jinga hilo linafikiri kama yeye halina pesa basi wote ni hivyo
Leo jmosi fanya research hapo tu tabata utajionea wala usiende mikocheni
Anzia 40 40, nenda Micasa, Kitambaa cheupe, Toroka uje, The great, BL
Alafu uje usome comment ya jinga hili ndio utaelewa, anafikiri stress alizonazo yeye basi kila mtu anazo
 
Jana nimepita Sinza, nikakuta ile bar maarufu ya Hongera imefungwa. Nimeikumbuka hii bar enzi zangu, nilikuwa napiga kilaji pale afu nasogea pale Kona baa kuchukua warembo. Kwa wanaojua nini kimetokea
Kumbe Hongera Bar ilihamia Sinza! Itakuwa haijafungwa imerudi kwao Kijitonyama kula Krisimasi, si unajua Wachaga.
 
Afadhali imefungwa, maana naskia huko sinza kuna dhambi zaidi hapa kwenye nchi.....😂😂
 
mkuu hii nchi huru nazani unaukumbuka kuna uzi uliletwa humu kuhusu mambo ya kiswahili yanayokera ni kama wewe kunitaka niishi unavyotaka wakati kila mtu ana vipaumbele vyake kwenye maisha

Mkuu ww ni mwanaume? Kama ni mwanaume avator ya mwanamke ya ninmkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom