Bar maarufu Sinza, Hongera Bar imefungwa

Bar maarufu Sinza, Hongera Bar imefungwa

Jana nimepita Sinza, nikakuta ile bar maarufu ya Hongera imefungwa. Nimeikumbuka hii bar enzi zangu, nilikuwa napiga kilaji pale afu nasogea pale Kona baa kuchukua warembo. Kwa wanaojua nini kimetokea
Duh!...
 
Kona bar kuna wadada classic sijawahi ona. Uje ujaribu na lambo mkuu enzi za ujana Wangu nilitembelea sana hapo ila saivi uzee na watt wanahitaji wale matunda ,sato fresh na maziwa. Nahela ni ya kawaida sana. Nikitaka kuitoa nawaza sana naona bora niwachukulie homa hata paja LA mbuzi Azima choma wakaenjoi kuwa na baba yao.
Sema Fanya ujinga wote ukiwa kijana na Hela ya bumu ila mshahara uwazie kuutumia kutengeneza ili uwe unakufanyia kazi uwahi kustaafu
 
Mkuu

Si kweli kiivyo...kuna rate ya ajabu ya ufungwaji wa mabaa sio Sinza tu,alot of places across the country

Kuna reason for this....

Ni vizuri vijana wa UDBS wanapofanya Final Year projects zao hizi ndio thesis za kufanyia kazi wapate ma-degrees yao

Nchi inaenda sehemu fulani hivi ya ajabu sana..na kujinasua humo sio kwa akili ya huyu huyu alietuingiza humo,inatakiwa new brains kabisa
Zinazofungwa ni chache kuliko zinazofunguliwa, amini hilo. Hata hivyo nimetoka kuuliza hapa nimeambiwa hongera haijafungwa bali inatengenezwa upya ije kama lounge level za La chaz na Last minute
 
Ku

Kuna uwezekano huo maana kuna kipindi nilikuwa mzururaji kwenye maeneo Kama hayo, hakuna lililokuwa linanipita, kwa sasa nimeokoka.
Hamia dukani kwa mangi tu [emoji23][emoji23]
Sema biashara za bar ndiyo zilivyo kunakipindi
Bar ina drop so lazima ukajipange tena
Uje na ubunifu mpya...
Si umeiona rose garden inakuwepo kwa sababu ya jina tu na eneo ila rose garden ile ya mlatie siyo ile tena

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Hata fuel station ya mcity pale imefungwa....ni watoza ushuru wanafunga kama hawana akil nzur...wametapakaa mitaan huku balaa
 
Kafilisika kafunga, ila hapo hapo sinza kuna baa zaidi ya 10 ambazo ni nzuri balaa zimefunguliwa.
Shida bar ilikuwa ya kizamani sana, watu sasa hivi wanafungua bar ambayo ipo classic
Na hivi tunavyoongea kuna mtu anataka kufungua kitu classic
Bar sasa hivi huwez weka viti nje chini ya miti kama alivyofanya huyo hongera
Weweeee bar ya afisa kipenyo ile..inafanyiwa renovation tu
 
Hamia dukani kwa mangi tu [emoji23][emoji23]
Sema biashara za bar ndiyo zilivyo kunakipindi
Bar ina drop so lazima ukajipange tena
Uje na ubunifu mpya...
Si umeiona rose garden inakuwepo kwa sababu ya jina tu na eneo ila rose garden ile ya mlatie siyo ile tena

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Kwa Sasa ni mtumishi kabisa mkuu.

Maeneo mengi yamebakia majina tu hakuna zile amsha amsha.

Vijana wa sasa huwa nawaangalia tu na kuwasikitikia hawajui kitu ila ujuaji mwingi Sana.

Hata hivyo hayo mambo mwisho wa siku hayana faida Sana. Hata Mfalme sulemani mwenyewe alikiri kwa kusema vyote ni Ubatili na kweli ni ubatili.
 
Hahahaha sawa mtumishi

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Jana nimepita Sinza, nikakuta ile bar maarufu ya Hongera imefungwa. Nimeikumbuka hii bar enzi zangu, nilikuwa napiga kilaji pale afu nasogea pale Kona baa kuchukua warembo. Kwa wanaojua nini kimetokei

Jana nimepita Sinza, nikakuta ile bar maarufu ya Hongera imefungwa. Nimeikumbuka hii bar enzi zangu, nilikuwa napiga kilaji pale afu nasogea pale Kona baa kuchukua warembo. Kwa wanaojua nini kimetokea
Ni matokeo ya uchumi wa Kati
 
Huwezi sema hivyo maana hujafanya utafiti official utoe na data kabisa

Korona imetoka juzi tu hapo,mahoteli karibu 70% closed,halafu unakuja nieleza nini kuhusu Bar?

Siwezi amini assumption yako kiivyo!

Sinza ya leo sio ya 2015 kushuka chini mzee

Hunidanganyi!

Baa zimepungua au kama zipo mauzo yamechoka sana yaani
Sina data sawa ila hata na wewe huna.
Nionyeshe bar 1 iliyofungwa nikuonyeshe 10 zilizofunguliwa.
Pia kuhusu sinza, watu wengi sasa hivi wanaenda tabata kula bata.
Tabata ya 2015 sio ya sasa, kuthibitisha hili nakuomba leo hii jmosi njoo 40 40, uone pesa inavyotumbuliwa.
Pia sehemu nyingine ambayo zimefunguliwa loilunge za heshima na nzuri ni mikocheni. Huko napo kuna balaa sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom