Kwahiyo bado mnaendelea na vitisho? Watu wakiandamana barabarani kwa raha na gharama zao mwingine kwanini impe shida kiasi hiki?Magufuli Ni kiboko yenu mkuu Mshana!
Najua hii operation ukuta ilikuwa Na lengo moja kuu nalo Ni kuweka pressure ili Raisi awaite ikulu mkazungumze!
Na Hilo linadhihirishwa Na kauli Za Mbowe Na Lisu kwamba mnahitaji mazungumzo!!
Lakini Raisi amelijua hilo Na yuko kimya, hata kaa Na ninyi Na amri ya kutokuandamana ipo pale pale!!
Sisi tulioambiwa Na Mbowe tuandamane lakini tukachanganya Na akili zetu tutakuwa watazamaji Na kwakweli tutawapa pole kwa yatakayo wakuta
Uzi uliwekwa hapa ukapata kasi ya uchangiaji GHAFLA mods wakaenda uunganisha somewhere else sijajua walimaanisha nini maana PONGEZI ZA CCM zinahitaji uzito wa KIPEKEEmkuu,hiyo press release ya Sendeka imo humu jf?
waweza kunitag?Uzi uliwekwa
Aisee...halafu credits zikapewa mwingine! Hawa watu wana rohombaya Sana ujue AdharusiUkawa na wafuasi wao wamezidiwa na Mahaba... Lini JPM aliwai kua na kinyongo na Mtu.. Maalim Seifu aliugua.. JPM alienda kumsalimia Hospital kwa bashasha, Sumaye aliugua JPM alienda kumjulia hali, Tundu Lisu alifiwa JPM alienda kumjulia hali... Mbona mambo ya kawaida kwa JPM.. Nazani watu wa Ukawa mlitamani asienda kumpa mkono ili pia msifie kama mlivyo msifu Maalim Seifu...
Ukiambiwa una akili za Ukawa inabidi ujichunguze.. Tendo lolote linalofanywa na kiongozi wao, kwao ni kitendo cha kishujaa
Na hasa CCM wawaelimishe na Polisi piaSiasa siyo uadui, wanasiasa waelimisheni wafuasi wa vyama vyenu
Magufuli alikiri kwamba kukutana na Lowasa ulikuwa ni muujiza. Kama unajua maana ya muujiza utakuwa umeelewa.Wapiga makofi na washangiliaji wa EL na Mbowe utawajua tu. Hoja ya Maalim imewekwa kapuni.
nimependa majibu haya ya kiungwana bila kujali content ya uzi wako mkuu.Asante kwa kuja nadhani hii tune ya ufisadi wake ifanyieni kolabo sasa manake naona mnaishia kuponda huku mitandaoni nyuma ya ID bandia bila ithibati yoyote
Haya asante kwa ushauri lakini ukiweza weka hakiba ya maneno
Mkuu muandame barabarani kwa amani nchi nzima halafu sie tunaoitumia hiyo barabara kujipatia riziki tufanyeje???Kwahiyo bado mnaendelea na vitisho? Watu wakiandamana barabarani kwa raha na gharama zao mwingine kwanini impe shida kiasi hiki?
We pekee ndio hujui kuwa lowassa yupo upinzani kwView attachment 389673
Ni aina ya bao kwenye soka ambalo hakuna anayetegea kama litafungwa, huja kiaina yake kimtindo na bila kipa kujiandaa au wale walinzi. Mpira hutikisa nyavu na hadhira kulipuka kwa shangwe na kelele za goooooo....!!!!
Hiki ndio kilichotokea wiki iliyopita Pale EL alipokutana uso kwa uso na Magufuli. Wengi hawakutarajia kile alichokifanya Lowassa, kwa tabasamu toka rohoni alimsabahi Magufuli bila chembe ya kinyongo! Katu Magufuli hakulitegemea hili na yeye bila kuficha hisia zake za ndani kabisa akakiita kitendo kile kama ni muujiza.
Ilikuwa ni 'brief moment' iliyoleta impact kubwa sana kisiasa hasa kwa upande wa Lowassa! Kwa kasi ya ajabu ikawa ni mjadala kila mahali lakini kote huko kete ikimwangukia Lowassa. Hamasa ya kumpongeza EL kwa kuonyesha uuungwana mkubwa kiasi kile umeikumba CCM hata kufikia nacho kutoa tamko rasmi la kumpongeza.
Kisiasa hili ni bao la kisigino na si la mkono
Kweli usilolijiua ni sawa na usiku giza lowassa amekwwnda upinzani kwa kazi maalum angalia nccr ilivyosambaratika, cuf hao wanaelekea Kaburini kunizika Wenyewe na chadema watafuatia muda si mrefu. Zitto aling'amua hilo akakataa muungano huo wa ukawa ambao ni kifo kwa vyama vya upinzani nchini, lowassa kazi Yake ikishaisha anarudi ccm au atapewa kazi kama mrema.View attachment 389673
Ni aina ya bao kwenye soka ambalo hakuna anayetegea kama litafungwa, huja kiaina yake kimtindo na bila kipa kujiandaa au wale walinzi. Mpira hutikisa nyavu na hadhira kulipuka kwa shangwe na kelele za goooooo....!!!!
Hiki ndio kilichotokea wiki iliyopita Pale EL alipokutana uso kwa uso na Magufuli. Wengi hawakutarajia kile alichokifanya Lowassa, kwa tabasamu toka rohoni alimsabahi Magufuli bila chembe ya kinyongo! Katu Magufuli hakulitegemea hili na yeye bila kuficha hisia zake za ndani kabisa akakiita kitendo kile kama ni muujiza.
Ilikuwa ni 'brief moment' iliyoleta impact kubwa sana kisiasa hasa kwa upande wa Lowassa! Kwa kasi ya ajabu ikawa ni mjadala kila mahali lakini kote huko kete ikimwangukia Lowassa. Hamasa ya kumpongeza EL kwa kuonyesha uuungwana mkubwa kiasi kile umeikumba CCM hata kufikia nacho kutoa tamko rasmi la kumpongeza.
Kisiasa hili ni bao la kisigino na si la mkono
Aisee kama unadhani CHADEMA ni NCCR au TLP basi bado una safari ndefu sana kifikra kwenye nyanja za kisiasa...ila kwakuwa ni mtazamo wako hakuna shidaWe pekee ndio hujui kuwa lowassa yupo upinzani kw
Kweli usilolijiua ni sawa na usiku giza lowassa amekwwnda upinzani kwa kazi maalum angalia nccr ilivyosambaratika, cuf hao wanaelekea Kaburini kunizika Wenyewe na chadema watafuatia muda si mrefu. Zitto aling'amua hilo akakataa muungano huo wa ukawa ambao ni kifo kwa vyama vya upinzani nchini, lowassa kazi Yake ikishaisha anarudi ccm au atapewa kazi kama mrema.
Ndosababu mi nampenda brook!Hongera sana Mshana jr, hongera zake mama yako aliyekuzaa kweli alikulea katika maadili mema, yaani huwa unanifurahisha sana huna hasira wala huna muda wa kujibizana na mtu! I wish ningepewa roho kama yako. Hongera sana once again